Humphrey Polepole akiingia Bungeni

Humphrey Polepole akiingia Bungeni

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Zaburi 23:4

FB_IMG_16304793971652350.jpg
 
Jamaa alifikia makubaliano na Corona namna ya ku coexist hapa nchini!
Apewe heshima yake.
 
Amuheshimu mama Kama alivyomuheshimu Magufuli otherwise hatutakubali kuona mtu anachezea chama chetu Kwenye kipindi hiki kigumu sana cha kisiasa
 
What's such a special thing about him?
Here we go! The special thing abt him is his internal confidence, he is not hypocrite, he does what he speaks and much much more, compared to that beast recording a lavish fake royal tour while doubling the so called tozo from poor tanzanians like you.
 
Amuheshimu mama Kama alivyomuheshimu Magufuli otherwise hatutakubali kuona mtu anachezea chama chetu Kwenye kipindi hiki kigumu sana cha kisiasa
Kumbe ni kipindi kigumu Cha siasa? Ugumu unasababishwa na Nani? Siasa haiwezi kuwa ngumu Kama munashughulikia ipasavyo ustawi wa watu, na sio kushughulikiana,
Hebu ondoeni matatizo ya tozo, gharama za maisha muone siasa inavyokua laini, kwani haujajifunza jiwe ametubebaje 2020?
 
Sik
Hapo akiwa na Baba yake mkubwa wa south
Jamaa alifichaficha sana kabila yake,ingawaje imejulikana sasa ni mnyiramba yani ni kabila moja na doroth,shemeji yake na sheikh Rashid gwajiboy.
 
Back
Top Bottom