Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 1,056
- 2,118
Kiongozi how is Putin?Mheshimiwa Balozi nikipata nauli nakuja kukupa hi hapo ubalozini,
Andaa Suti kabisa tusalimiane ukiwa tumevaa suti , ingae Kama ya Makatibu katibu wakuu fulan hivi
Aisee wanajukwaa Karibuni Moscow tupate vodka
Britanicca
Havana anapiga vitenge tu na Batiki 😂😂Mheshimiwa Balozi nikipata nauli nakuja kukupa hi hapo ubalozini,
Andaa Suti kabisa tusalimiane ukiwa tumevaa suti , ingae Kama ya Makatibu katibu wakuu fulan hivi
Aisee wanajukwaa Karibuni Moscow tupate vodka
Britanicca
You Know! Leo ni AFISA UBALOZI 😁Hichi ndicho kwa haraka haraka nilikiwaza muda mfupi kabla ya kusoma post yako kuhusu Pole Pole hapa na nikaishia kucheka sana.
Kale kagheto kake pamoja na kile kitanda chake kilikuwa kinaashiria Pole Pole ni team kataa ndoa halafu anapenda kuvigonga vibinti vidogo vidogo, hawezi kupeleka shangazi kwenye ile bed.
Kama kweli, si atakumbuka msemo wa "usivuke mto kabla hujatukana mamba?"Nape akawa na jeuri kumwita Polepole kiroboto.
Polepole wa mchakato wa katiba sawa. Ila wabaada ya hapo, hata uenyekiti wa kijiji hapana. Mnafiki mkubwa hatakiwi.Polepole has the potential to be a good president. Namkubali.
Tatizo kitengo ana onachahamishiwa kinambanaMheshimiwa Balozi nikipata nauli nakuja kukupa hi hapo ubalozini,
Andaa Suti kabisa tusalimiane ukiwa tumevaa suti , ingae Kama ya Makatibu katibu wakuu fulan hivi
Aisee wanajukwaa Karibuni Moscow tupate vodka
Britanicca
Pengine hata hili la Polepole kuvaa suti ni tango poriHata yeye hulishwa matango pori🤣🤣
Kumbe ulishangilia😂😂😂Okay. Huyu britanicca siyo wa kumfuatilia sana. Mwaka jana miezi fulani alituamimisha kuwa Paul Makonda amelishwa sumu na ameshakufa.
Tukapoteza muda kushangilia, kumbe ilikuwa FEKERO
Nilikuwa nashangilia kuona Bashite anamfuata Mwendazake kuzimuWewe ni mpumbavu sana!
Ulikuwa unashangilia nini sasa?
Wewe umeelewaje?Elewa Basi Content mkuu, Au tukupe Mkasi utembee nao Mfukoni kama Mzee wa Msoga Kipindi chake
Mbona hajabeza uvaaji wa Elon Musk? Tofauti ya Elon na Zelensky iko wapi kimavazi?Lakini Trump kabeza uvaaji wa Zelensky kwenye kikao chao kilichovurugika.
Sasa mbwa akifa kwa nini watu washangilie?Mtu akinyweshwa sumu na kufa wewe unashangilia? Utakufa tu na wewe mbwa na watu watashangilia lenye chuki limekufa
Wenzio wanajua habari nyeti za Magogoni wewe unachojua ni kudinya papuchi mbovu ya mkeo tu...Pengine hata hili la Polepole kuvaa suti ni tango pori
CCM hata Mwijaku anaweza kuwa Makamu wa Rais, hawajali kitu. Wao kila kitu ni butua twende.Ila Pole pole kwa haiba na matendo yake na mazungumzo yake ni mjamaa typical ...
Ataendana na hiyo kasi ya mixed economy?
Unless ni cheo tu, so he should comply and not much to be expected
Wewe ukipewa una ubavu wa kukataa?!Polepole akikubali kurudi kushika cheo ccm..akili zake haziko sawa, baada ya kufanyiwa uhuni wote ule..kutolewa ubunge wakupewa, kuzuiwa kipindi cha kufundisha uongozi, kuvunjiwa nyumba na kupekuliwa ili kudhalilishwa..leo wameona unafaa tena..? ni km wana jambo baya, huwezi kukaa na watu wa aina hii ukadhani uko salama!