Humphrey Polepole andaa Suti

Humphrey Polepole andaa Suti

Mheshimiwa Balozi nikipata nauli nakuja kukupa hi hapo ubalozini,

Andaa Suti kabisa tusalimiane ukiwa tumevaa suti , ingae Kama ya Makatibu katibu wakuu fulan hivi

Aisee wanajukwaa Karibuni Moscow tupate vodka

Britanicca
Kiongozi how is Putin?
 
Hichi ndicho kwa haraka haraka nilikiwaza muda mfupi kabla ya kusoma post yako kuhusu Pole Pole hapa na nikaishia kucheka sana.

Kale kagheto kake pamoja na kile kitanda chake kilikuwa kinaashiria Pole Pole ni team kataa ndoa halafu anapenda kuvigonga vibinti vidogo vidogo, hawezi kupeleka shangazi kwenye ile bed.
You Know! Leo ni AFISA UBALOZI 😁
 
Mheshimiwa Balozi nikipata nauli nakuja kukupa hi hapo ubalozini,

Andaa Suti kabisa tusalimiane ukiwa tumevaa suti , ingae Kama ya Makatibu katibu wakuu fulan hivi

Aisee wanajukwaa Karibuni Moscow tupate vodka

Britanicca
Tatizo kitengo ana onachahamishiwa kinambana
 
Okay. Huyu britanicca siyo wa kumfuatilia sana. Mwaka jana miezi fulani alituamimisha kuwa Paul Makonda amelishwa sumu na ameshakufa.

Tukapoteza muda kushangilia, kumbe ilikuwa FEKERO
Kumbe ulishangilia😂😂😂

Bwege kweli wewe😂😂😂
 
Polepole akikubali kurudi kushika cheo ccm..akili zake haziko sawa, baada ya kufanyiwa uhuni wote ule..kutolewa ubunge wakupewa, kuzuiwa kipindi cha kufundisha uongozi, kuvunjiwa nyumba na kupekuliwa ili kudhalilishwa..leo wameona unafaa tena..? ni km wana jambo baya, huwezi kukaa na watu wa aina hii ukadhani uko salama!
 
Wewe ukipewa una ubavu wa kukataa?!
 
Back
Top Bottom