Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa kuu ya kuwa CCM ni uwe kama kinyonga! Unabadikika kulingana na upepo wa wakati husikaIla Pole pole kwa haiba na matendo yake na mazungumzo yake ni mjamaa typical ...
Ataendana na hiyo kasi ya mixed economy?
Unless ni cheo tu, so he should comply and not much to be expected
Elewa Basi Content mkuu, Au tukupe Mkasi utembee nao Mfukoni kama Mzee wa Msoga Kipindi chakeKwani asipokuwa na suti itazuia nini nyinyi kukutana na kuongea? Kuvaa suti ni kasumba tu.
Mbona Elon Musk anaingia Oval Office akiwa casual but smart
Lakini Trump kabeza uvaaji wa Zelensky kwenye kikao chao kilichovurugika.Kwani asipokuwa na suti itazuia nini nyinyi kukutana na kuongea? Kuvaa suti ni kasumba tu.
Mbona Elon Musk anaingia Oval Office akiwa casual but smart
Hapana ni MuchiimbiVp mzee. Kesho Makala out Polepole in nini?
Kwani asipokuwa na suti itazuia nini nyinyi kukutana na kuongea? Kuvaa suti ni kasumba tu.
Mbona Elon Musk anaingia Oval Office akiwa casual but smart
Nape akawa na jeuri kumwita Polepole kiroboto.Si tuliaminishwa kuwa watu wote wa Magufuli ni wabaya na hawana nafasi ktk serikali hii?
Hichi ndicho kwa haraka haraka nilikiwaza muda mfupi kabla ya kusoma post yako kuhusu Pole Pole hapa na nikaishia kucheka sana.Pole Pole Anakumbuka Dodoma Kitanda Chake Cha Futi Mbili Na Show Alikuwa Anapiga
Hamna mjamaa mule acha ujingaIla Pole pole kwa haiba na matendo yake na mazungumzo yake ni mjamaa typical ...
Ataendana na hiyo kasi ya mixed economy?
Unless ni cheo tu, so he should comply and not much to be expected
Tunakuamini sana!!!!!!!!!!!!! habari zako ni za ndaaniiii sana na hakikaMheshimiwa Balozi nikipata nauli nakuja kukupa hi hapo ubalozini,
Andaa Suti kabisa tusalimiane ukiwa tumevaa suti , ingae Kama ya Makatibu katibu wakuu fulan hivi
Aisee wanajukwaa Karibuni Moscow tupate vodka
Britanicca
Mtu akinyweshwa sumu na kufa wewe unashangilia? Utakufa tu na wewe mbwa na watu watashangilia lenye chuki limekufaOkay. Huyu britanicca siyo wa kumfuatilia sana. Mwaka jana miezi fulani alituamimisha kuwa Paul Makonda amelishwa sumu na ameshakufa.
Tukapoteza muda kushangilia, kumbe ilikuwa FEKERO