Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Mnyarwanda (Bahima Project) mwenye kujua siri nzito za yanayofanyika Ikulu na hata TISS.
Alafu kuna mtu anakuja kusema Tanzania tuko salama against Bahima Empire Project.
karibia nusu ya watanzania wote wanaukaribu na rwanda,burundi na uganda, wanaoitwa wanyamwezi sehemu kubwa walitokea uganda/rwanda ni museveni type, kagera kama yote bariadi na shy ndiyo usiseme kwa taarifa yako tu hata Mwalimu Nyerere asili yake ilikuwa ni hilo eneo na yeye ni hiyo unayoiita bahima empire ? hivyo sielewi unachomaanisha, we all came from somewhere, usisahau tanzagiza haiku exist kabla ya western Christians kuja hivyo hakuna mwenye hati miliki na wote waishio ndani ya hii mipaka wanastahili kuwepo …