Humphrey Polepole andaa Suti

Humphrey Polepole andaa Suti

Mpango ni mpango wa Mungu.
IMG-20250303-WA0006.jpg


Sauti ikisikika kutoka DOCHIWELE, You Know 😂​
 
Mheshimiwa Balozi nikipata nauli nakuja kukupa hi hapo ubalozini,

Andaa Suti kabisa tusalimiane ukiwa tumevaa suti , ingae Kama ya Makatibu katibu wakuu fulan hivi


Aisee wanajukwaa Karibuni Moscow tupate vodka

Britanicca

Kwamba next katibu mkuu ni bwana polepole?
 
Kwani asipokuwa na suti itazuia nini nyinyi kukutana na kuongea? Kuvaa suti ni kasumba tu.

Mbona Elon Musk anaingia Oval Office akiwa casual but smart
Code imekuzidi uwezo, umewazia suti tu😅
 
Ni aibu polepole kupewa ubaloz ili asitoe mchango kwa nchi

Polepole ni Presidential material kumfcha mbali ni kuua kipaji
 
Code imekuzidi uwezo, umewazia suti tu😅
Code za kazi gani humu? Hii ni free speech platform halafu mtu anatumia anonymous name bado anaandika kwa mafumbo!! Insane
 
Back
Top Bottom