King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Kwa hiyo anastahili kifo kama kweli amefanywa hivyo?!Haya huyo Polepole Yuko wapi? Mnajaza ujinga na uongo ili kupooza nafasi zenu hivi kwa namna Polepole aliyokuwa anatoa Siri za watu na serikali unadhani watamuacha salama? Kama kibao alikuwa ana madhara na kauwawa isiwe kwa Polepole? Kodo dyako na wenzako tumieni akili
Hoja yangu sio hiyo nimetoa hoja yangu kulingana na Uzi wenyewe huwezi kutuaminisha Polepole ni mzima kwa hoja dhaifuKwa hiyo anastahili kifo kama kweli amefanywa hivyo?!
Hoja dhaifu Ipi?!Hoja yangu sio hiyo nimetoa hoja yangu kulingana na Uzi wenyewe huwezi kutuaminisha Polepole ni mzima kwa hoja dhaifu
Kwahiyo Polepole mlivyomuua ndiyo WAHUNI wataendelea kula bila bugza?Haya huyo Polepole Yuko wapi? Mnajaza ujinga na uongo ili kupooza nafasi zenu hivi kwa namna Polepole aliyokuwa anatoa Siri za watu na serikali unadhani watamuacha salama? Kama kibao alikuwa ana madhara na kauwawa isiwe kwa Polepole? Kodo dyako na wenzako tumieni akili
Kwahiyo wewe unaamini Pole pole yupo hai ameifadhiwa sehemu?Hoja dhaifu Ipi?!
Tuwe tunajaribu kuelewa hoja badala ya kuwa na mihemko kwenye kujibu wapi nimeonesha kufurahia Polepole kuuwawa?Kwahiyo Polepole mlivyomuua ndiyo WAHUNI wataendelea kula bila bugza?
Tushasahau daaahOhooo, Samia, Kikwete, Rostam na Abduli mnachokitafuta mtakipata.
Aliyewatuma ndio leo walikua wanamsomea hicho kipeperushi cha udaku hivyo wanajua wamemuua na hawezi kuongea tena wanaona wamemaliza.Tunashangaa ripoti ya chande haijamzungumzia POLEPOLE KABISA KABISA!
Mahasidi yamepora uhai ili yabaki madarakaniKwahiyo vidampa wa Samuya wanaliweka hili tukio katika kundi lipi?
Madeni, mapenzi au ushirikina?
Na wao wajue uhai wao sio wa kudumu.Mahasidi yamepora uhai ili yabaki madarakani
AiseeeWairan hao na Mzee Butiku wamekula hela ya kazi.
Acha ujinga lipeni kisasi, Mafwele mnamjuaMungu awalaani wote waliohusika kukupoteza