Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

Haya mambo yanakuwa kama maigizo inawezekana pole2 hatutamwona tena tena... aseee this country bwana is very poor according to mrisho mpoto song! Albam mjomba.
 
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mange ameandika....

"Hi guys nimetumiwa hii ni mtu ana insist ni ndugu yake na Polepole. I don’t know what to think, Mimi nilidhani Polepole hayuko TZ. I’m posting ili Polepole mwenyewe ku confirm kama yuko Okay, Ila mimi kama sijui niipe uzito gani hii taarifa.
.
Dada habari za asubuhi.mimi ni ndugu wa karibu na familia ya Humphrey polepole. Asubuhi ya kuamkia leo wamevunja nyumba aliokuwa ana kaa nakumchukua. Wamemteka Polepole, naomba uwaarifu Watanzania"


View attachment 3484576
View attachment 3484577

UHAKIKI KAMA ALIKUWA HAPO:

View attachment 3484595
View attachment 3484596
britanicca tuambie waliomchukua Polepole ni kina nani ?..
 
Juzijuzi mama yenu kipenzi wa mambo ya kijamii Gwajima alimkataa live
 
Back
Top Bottom