johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wanavunjika wenyewe bwashee!Mnahofu mpaka mnawavunja miguu
Sijui ni kwanini wajumbe mnafiiaga chako ni chako changamkieni Pestana, 4G, Rainbow mbona chimbo kibao wajumbe, kuna nyumba pia za 50k perday badala ya kulala chako ni chako guest houseNjoo hapa chako ni chako ule kuku
Bashite analo lakujifunza mshamba yuleFaustine hana makuu!
Kwa taarifa nilizopata usiku huu baada ya kuwasili hapa Dodoma ni kwamba wabunge wengi huenda wakafyekelewa mbali licha ya kuongoza kwenye kura za maoni..
People's power.🤣
Una kichaa kama yule Bwana, unasemaje? Hakuna mwenye ubavu wa kuwaengua, hayupo katu ndani ya CCM!Kwa taarifa nilizopata usiku huu baada ya kuwasili hapa Dodoma ni kwamba wabunge wengi huenda wakafyekelewa mbali licha ya kuongoza kwenye kura za maoni...
Walau naona ladha ya Mzee Vuta nikuvute, tupatupa wa LumumbaKwa taarifa nilizopata usiku huu baada ya kuwasili hapa Dodoma ni kwamba wabunge wengi huenda wakafyekelewa mbali licha ya kuongoza kwenye kura za maoni...
Hata jeni naye hapa operamiho katembeza mlungula balaaNi ukweli, sio tulia, manyanya, six, ndumbaro na wengine wengi.Rushwa zimetembea kwelikweli
Si ndio hapo mkuu!Faustine hana makuu!
Ccm pigeni spana woote lakn Dk faustine ngugulile shujaaa wetu hajatoa hata senti naona mnatuandaa kisaikolojia
Hajaukatia ila ameukatikiaHuu msemo wa ni yeye umeukatia hati miliki?
Bora Makonda mtetezi wa wanyonge na mkatishaji maisha ya wenzake apitishwe kugombania ubunge.Vita ya panzi hii!!