Humphrey Polepole for future presidency

Humphrey Polepole for future presidency

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
11,966
Reaction score
11,218
Kwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana.

Polepole for future presidency

#kataawahuni

Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni

Vijana tupo tayari kwa uongozi wa Polepole kwa nafasi yoyote
 
Polepole ni kigeugeu sana!
Kwenu nyie wa ovyo, kwa sisi vijana Polepole ni hadhi ya raisi au katibu mkuu kiongozi.

Siwezi kuwasemea wengine, ila mimi kama kijana nina imani na uongozi wa Polepole.

Polepole anauthubutu mungu atulindie huyu kiongozi.

Merry Xmas and happy new year
 
Polepole ni kigeugeu sana!
Bora kigeugeu na mzalendo maana ukiniuliza Polepole vs Nape mzee wa 800 mil au Polepole vs Makamba mzee wa michongo etc yaani ni afadhali Polepole. Polepole kazi yake tumeiona, kagawa V8 na landcruiser mikonga kwa viongozi wa CCM ila angekuwa Bulembo angehakikisha hiyo hela anaichepusha iwe ya kwake na familia. Polepole akiongea unauona uzalendo lakini Bulembo akiongea unaona unafiki na wizi. Nani hajui kuwa CCM mwizi analindwa??? Muacheni Polepole aendelee kutuneemesha kwa elimu ya uzalendo. Na huu mtego wenu wa kitoto eti mnamtegeshea ajirengeshe mumuue it’ll never happen, he is smarter. Urais siyo lengo lake kabisa hata kidogo.
 
Nape siyo mwanasiasa amekuwa akibebwa tu na mzee Malecela!
 
S Polepole ndiyo awe rais?

Halfu kupotia chama gani? Hiki hiki cha wahuni na viroboto?
Mh Polepole ni mwana CCM na kijana pekee mwenye dira.

Mungu atulindie huyu shujaa dhidi ya vita vyake na wahuni.

Tanzania kupitia CCM sio monarchy state kama baadhi ya watu wanavyodhani.

God bless Polepole kwenye vita yake na wahuni.
 
Bora kigeugeu na mzalendo maana ukiniuliza Polepole vs Nape mzee wa 800 mil au Polepole vs Makamba mzee wa michongo etc yaani ni afadhali Polepole. Polepole kazi yake tumeiona, kagawa V8 na landcruiser mikonga kwa viongozi wa CCM ila angekuwa Bulembo angehakikisha hiyo hela anaichepusha iwe ya kwake na familia. Polepole akiongea unauona uzalendo lakini Bulembo akiongea unaona unafiki na wizi. Nani hajui kuwa CCM mwizi analindwa??? Muacheni Polepole aendelee kutuneemesha kwa elimu ya uzalendo. Na huu mtego wenu wa kitoto eti mnamtegeshea ajirengeshe mumuue it’ll never happen, he is smarter. Urais siyo lengo lake kabisa hata kidogo.

Ukweli mtupu

Kabisa kiongozi watu kama nyie amuangalii maslahi yenu; isipokuwa upana kwa jamii yake.

Na hiyo ndio vita Polepole aliyojivicha dhidi ya wahuni; wanataka kumgombanisha na mwenyekiti wakati hizo sio hoja zake.

Vijana tunamuelewa Polepole for next katibu mkuu kiongozi au raisi wa nchi; vijana tunahitaji mtu anaetuelewa.
 
Leo serikali mbili kesho serikali tatu
Jana katiba mpya muhimu leo haina umuhimu
Sichanji corona kuna miti shamba inatibu
Jana siwataki viongozi wa Chadema kesho anahonga waunge mkono juhudi
Huyo ni Chakubanga kwenye ubora wake rais mtarajiwa (sijui wa chama gani)
..... itaendelea
 
Kwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana.

Polepole for future presidency

#kataawahuni

Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni

Vijana tupo tayari kwa uongozi wa Polepole kwa nafasi yoyote
Awe rais wa familia yenu,nchi hii aingozwi na kiroboto
 
Back
Top Bottom