obelisk
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 337
- 334
[emoji849][emoji848]marry christmass
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji849][emoji848]marry christmass
Uzuri wa huyu Jemedari wetu (si maanishi wa CCM, bali vijana afichi uzushi) hizo hoja za kuunga kuunga ameweka speech zake kwa kina. Kilichobaki ni watu kuutafuta ukweli alichosema.Leo serikali mbili kesho serikali tatu
Jana katiba mpya muhimu leo haina umuhimu
Sichanji corona kuna miti shamba inatibu
Jana siwataki viongozi wa Chadema kesho anahonga waunge mkono juhudi
Huyo ni Chakubanga kwenye ubora wake rais mtarajiwa (sijui wa chama gani)
..... itaendelea
Muundieni chama atakachopitia kupata urais.Uwezi kumuelewa if you are 40+ na mnufaikaji wa mfumo wa sasa.
Kwa wengine anapigana vita yetu dhidi ya mafisadi.
Sisi vijana wa kesho tunamuelewa namna anavyoweka maisha yake dhamana kwa Tanzania ya kesho.Hata Tff kubwa sana kwa polepole
Kuweka maisha dhamana maana yake niniSisi vijana wa kesho tunamuelewa namna anavyoweka maisha yake dhamana kwa Tanzania ya kesho.
Muhimu ni kumwambia tunamuelewa asikate tamaa.
Yeye mwenyewe 40+Muundieni chama atakachopitia kupata urais.
Sami 40+
Kikwete 40+
Mangula 40+
CCM yenyewe 40+
Sera za mavieite zinawazuzua ninyi watoto.
Ameandaliwa kuongoza ata kama sio raisi, bali kuisogeza Tanzania mbele kwa namna moja ama nyingine.Pole pile atakuwa chaguo la mungu kuiokoa CCM 2025
Wewe na Hao vijana wa wapi na wakati nikiwa kama kijana kinda kabisa naona polepole Chakubanga ni mchumia tumbo tu ana njaa hapaswi apewe mamlaka makubwa ataumiza watu Kama Kwa yule mshamba aliyelala chattle Hekaluni,Kwenu nyie wa ovyo, kwa sisi vijana Polepole ni hadhi ya raisi au katibu mkuu kiongozi.
Siwezi kuwasemea wengine, ila mimi kama kijana nina imani na uongozi wa Polepole.
Polepole anauthubutu mungu atulindie huyu kiongozi.
Merry Xmas and happy new year
Akina Ndalichako wameharibu elimu huenda na huyu kiazi ni graduateKwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana.
Polepole for future presidency
#kataawahuni
Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni
Vijana tupo tayari kwa uongozi wa Polepole kwa nafasi yoyote
Taifa la vichaaKwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana.
Polepole for future presidency
#kataawahuni
Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni
Vijana tupo tayari kwa uongozi wa Polepole kwa nafasi yoyote
Sasa kama mnataka kuwa marais simumuache mwenzenu aongoze nchi kwa Utulivu!!!Kwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana.
Polepole for future presidency
#kataawahuni
Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni
Vijana tupo tayari kwa uongozi wa Polepole kwa nafasi yoyote