Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
To you too sir 🙏🙏🙏marry christmass
Kwenu nyie wa ovyo, kwa sisi vijana Polepole ni hadhi ya raisi au katibu mkuu kiongozi.Polepole ni kigeugeu sana!
Bora kigeugeu na mzalendo maana ukiniuliza Polepole vs Nape mzee wa 800 mil au Polepole vs Makamba mzee wa michongo etc yaani ni afadhali Polepole. Polepole kazi yake tumeiona, kagawa V8 na landcruiser mikonga kwa viongozi wa CCM ila angekuwa Bulembo angehakikisha hiyo hela anaichepusha iwe ya kwake na familia. Polepole akiongea unauona uzalendo lakini Bulembo akiongea unaona unafiki na wizi. Nani hajui kuwa CCM mwizi analindwa??? Muacheni Polepole aendelee kutuneemesha kwa elimu ya uzalendo. Na huu mtego wenu wa kitoto eti mnamtegeshea ajirengeshe mumuue it’ll never happen, he is smarter. Urais siyo lengo lake kabisa hata kidogo.Polepole ni kigeugeu sana!
Labda rais wa Tff!Kwenu nyie wa ovyo, kwa sisi vijana Polepole ni hadhi ya raisi au katibu mkuu kiongozi.
Siwezi kuwasemea wengine, ila mimi kama kijana nina imani na uongozi wa Polepole.
Polepole anauthubutu mungu atulindie huyu kiongozi.
Merry Xmas and happy new year
Nape siyo mwanasiasa amekuwa akibebwa tu na mzee Malecela!Bora kigeugeu na mzalendo maana ukiniuliza Polepole vs Nape mzee wa 800 mil au Polepole vs Makamba mzee wa michongo etc yaani ni afadhali Polepole. Polepole kazi yake tumeiona, kagawa V8 na landcruiser mikonga kwa viongozi wa CCM ila angekuwa Bulembo angehakikisha hiyo hela anaichepusha iwe ya kwake na familia. Polepole akiongea unauona uzalendo lakini Bulembo akiongea unaona unafiki na wizi. Nani hajui kuwa CCM mwizi analindwa??? Muacheni Polepole aendelee kutuneemesha kwa elimu ya uzalendo. Na huu mtego wenu wa kitoto eti mnamtegeshea ajirengeshe mumuue it’ll never happen, he is smarter. Urais siyo lengo lake kabisa hata kidogo.
Mh Polepole ni mwana CCM na kijana pekee mwenye dira.S Polepole ndiyo awe rais?
Halfu kupotia chama gani? Hiki hiki cha wahuni na viroboto?
Bora kigeugeu na mzalendo maana ukiniuliza Polepole vs Nape mzee wa 800 mil au Polepole vs Makamba mzee wa michongo etc yaani ni afadhali Polepole. Polepole kazi yake tumeiona, kagawa V8 na landcruiser mikonga kwa viongozi wa CCM ila angekuwa Bulembo angehakikisha hiyo hela anaichepusha iwe ya kwake na familia. Polepole akiongea unauona uzalendo lakini Bulembo akiongea unaona unafiki na wizi. Nani hajui kuwa CCM mwizi analindwa??? Muacheni Polepole aendelee kutuneemesha kwa elimu ya uzalendo. Na huu mtego wenu wa kitoto eti mnamtegeshea ajirengeshe mumuue it’ll never happen, he is smarter. Urais siyo lengo lake kabisa hata kidogo.
Mbona April Fools Day iko mbali?Kwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana.
Polepole for future presidency
#kataawahuni
Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni
Vijana tupo tayari kwa uongozi wa Polepole kwa nafasi yoyote
Polepole anahitaji sikio la kijana; anapingana na wahuni wanaodhani wana hati miliki ya nchi hii.Huenda, ila hata piere ni raisi
Ila urais wa nchi àsahau
Uwezi kumuelewa if you are 40+ na mnufaikaji wa mfumo wa sasa.Mbona April Fools Day iko mbali?
Awe rais wa familia yenu,nchi hii aingozwi na kirobotoKwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana.
Polepole for future presidency
#kataawahuni
Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni
Vijana tupo tayari kwa uongozi wa Polepole kwa nafasi yoyote
Hata Tff kubwa sana kwa polepoleLabda rais wa Tff!