Humphrey Polepole hata wakikuua ulishamaliza wajibu wako kwa taifa, nyeti za CCM mtandao ziko hadharani

Humphrey Polepole hata wakikuua ulishamaliza wajibu wako kwa taifa, nyeti za CCM mtandao ziko hadharani

Usiku wa leo nimemuota huyu mtu tunapiga stori fresh tu
 
yupo wapi
Ben sanane
Alphonso Mawazo
Anzory Gwanda
Akwilina
wapo wapi hawa?
nani aliwauwa na kwanini?
 
Mdogo wake Cornel wa Jeshi la NATO bado hajamuokoa??? Si mlisema atakinukisha?😂😂😂😂😂😂
Kisasi hulipwa wajati wowote. Hauna muda maalum hata miaka na miaka ipite lkn fahamu kuwa kisasi lazima kilipwe kwa wahusika hata kwenye kizazi chao. Ni suala la muda tu.
 
H Polepole alishatusanua, tatizo la nchi hii siyo mabeberu ni ccm mtandao.

1. Ndiyo maana Singa singa wa Iptl alitolewa harakaharaka na kulipwa billioni 349 za kodi za watanzania kinyume kabisa na agizo la bunge.

2. ⁠Ndiyo maana wabunge wote waliokuwa wanahoji kuhusu masilahi ya taifa na kuibua ufisadi wameondolewa bungeni, mfano Ummy Mwalimu, Ole Sendeka, Luhaga Mpina, Kunambi etc. Wabunge
hawa hawajapigwa zengwe na mabeberu mbali na ccm mtandao inayoongozwa na Jakaya Kikwete.

3. ⁠Ndiyo maana sasa hivi ukiyataja mafisadi kama Angella Kizigha, Rostam Aziz au kuibua ufisadi ni hatari kwako, badala ya Rais kuagiza mafisadi yachunguzwae kitatumwa kikosi kije kukuteka wewe uliyeibua ufisadi.

4. ⁠Ndiyo maana Rais anajua kuwa kuna kiwanda cha mbolea Kibaha kinachozalisha mamilioni ya tani ya mbolea na vifaa vya kilimo lakini bado wizara ya kilimo inaagiza mbolea nje ya nchi. Wizara ya kilimo hajazuiwa kununua mbolea Kibaha na mabeberu mbali na ccm mtandao

5. ⁠CCM mtandao kwenye masilahi yao wako tayari kuingia mikataba ya hovyo na wawekezaji wa nje ya nchi kwa kisingizio kwamba wanalinda mahusiano na kufungua nchi ila wananchi wakisimama kutetea rasilimali zao wako tayari kutumia bunduki kuwauwa bila kuogopa nchi kutengwa kwa kukiuka haki za binadamu.
Lazima uumie mana we ndo ulishirikiana sana Slowslow kukandamiza upinzani na kuasisi chagua za ajabu ajabu
 
Mdogo wake Cornel wa Jeshi la NATO bado hajamuokoa??? Si mlisema atakinukisha?😂😂😂😂😂😂
Aliwaambia waongeze ulinzi, na kweli waliongeza ndio maana kuna mtu siku hizi anavaa ma bullet proof mpaka anakua bonge.

Hakusema kisasi kitakuja lini au namna gani. Hivyo hata kisasi kikichukua miaka mia bado yupo sahihi.
 
Justice 4 Polepole.

Tunamsubiri Augustino Polepole ale vichwa vya watesi wa Polepole.

Tunasubiri Dua ya Mama yake polepole ianze kazi.
 
Heche aibua ufisadi wa kutisha kwenye mafuta. Vigogo wa serikali ndio wanaoagiza mafuta
 
Back
Top Bottom