Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Tulia uoneAna nguvu kiasi gani aweze kusimamisha nchi ?
Agenda yake kubwa ni CCM itafute mgombea mwingine badala ya Samia. Yaani Polepole anawachapa CCM viboko vya juu ya kiuno tu, wakishika kiuno anafuta anaanza upya. #KataaWahuni #NoReformsNoElection2025Wakuu!
Humphrey Polepole amesema alijiuzulu Ubalozi wa Cuba ili awe huru kuzungumza kwamba kuna tatizo kubwa katika Taifa letu na sio dhambi kujirekebisha.
Sasa leo saa 2:00 usiku usikae mbali nami hapa nitakuletea kila atakachokizungumza.
Polepole muhuni tu angekua mzalendo angesimama na no reforms no ElectionPole pole ni mnafiki Sana. Huyu ndio alipambana kuiua CHADEMA kipindi Cha Magufuli, Sasa hivi anajifanya mwanademokrasia. Very stupid guy.
Anayo nguvu kubwa tu. Huoni akikaribia kuongea mifumo yetu ya internet inakuwa mizito!? Unafikiri ni bahati mbaya. Hizo ni nguvu alizonazo ambazo wewe huna .Ana nguvu kiasi gani aweze kusimamisha nchi ?
Silipendi balaaHilo liBalile la nini tena hapo.
Wapo vijana smart wanaokuja juu kama kina Nyanda, Odemba, Charles, Marwa ndio wanaohitajika