Humphrey Polepole: "Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire'

Humphrey Polepole: "Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire'

Yuko Live !!

Simtetei Samia. Samia can go to hell for all I care.

Natetea utawala wa sheria na kufuata katiba.

Samia anaruhusiwa kugombea kikatiba.

Hicho ndicho kitu muhimu.

Hizo habari za utamaduni na desturi hazina nguvu kama katiba inamruhusu kugombea.

Kama Polepole hataki Makamu wa rais agombee urais, ajiunge kwa wanaodai mabadiliko ya kikatiba jambo hilo liwekwe kwenye katiba.

Nchi haitakiwi kuendeshwa kwa desturi na utamaduni ambao haujaandikwa popote.
 
Sikujua kama Slow Slow anaogopwa namna hii. Hadi mitandao inafungwa? Hawa wanajua anajua ukweli fulani.
Halafu ndio jukwaa la wahariri wa mama kina Balile wanasema Tanzania kuna uhuru wa habari.

Nimeshangaa Polepole anauliza kwanini Balile hajatokea live yaani chawa wa mama waliopewa tuzo kwenye lile tamasha la kichawa waliloliita kalamu ya mama angewezaje kuja kuongea vitu objective?
 
Simtetei Samia. Samia can go to hell for all I care.

Natetea utawala wa sheria na kufuata katiba.

Samia anaruhusiwa kugombea kikatiba.

Hicho ndicho kitu muhimu.

Hizo habari za utamaduni na desturi hazina nguvu kama katiba inamruhusu kugombea.

Kama Polepole hataki Makamu wa rais agombee urais, ajiunge kwa wanaodai mabadiliko ya kikatiba jambo hilo liwekwe kwenye katiba.

Nchi haitakiwi kuendeshwa kwa desturi na utamaduni ambao haujaandikwa popote.
Polepole mnafiki angekua ni mtu kweli reforms ndo angelilia na akakaba zinapitana sasa naona kama anatetea Maslai binafsi yuko na chakula
 
Acha kinuke, kama mbwai unamwaga mboga sie tunamwaga ugali watakaopona ndo wateule
 
Tuleteeni mambo huku,serikali nzima inamuogopa sana mpaka sana chomoa manyaya huko TCRA
Aisee hii kitu hadi vpn za bure zinatetereka, nimeweka moja premium inasoma nipo Israel naona ndio inaserereka
1000049720.jpg
 
Polepole Yuko overated! Hajui hata kwamba Nchi inaongozwa kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Nchi haiongozwi kwa Katiba ya CCM wala utamaduni wa CCM .

Rais Samia amepewa nafasi ya kugombea tena muhula mmoja kutokana na Katiba ya JMT.

Halafu Polepole ajue kwamba Rais Samia alishavuka ngazi ya Makamu wa Rais na asimlinganishe tena na akina Dr.Mpango.

Polepole alikurupuka kujiuzuru ubalozi na hana hoja yoyote ya msingi.
 
Back
Top Bottom