Raphael Mtui
Senior Member
- Nov 26, 2024
- 141
- 317
Wadau nyie mnatumia VPN?
Kama vile youtube na facebook vimefungwa.
Kama vile youtube na facebook vimefungwa.
Dah umenisanua, ndio maana naingia YouTube kufanya mambo yangu fulani inazingua. Watakuwa wamezimishaAnayo nguvu kubwa tu. Huoni akikaribia kuongea mifumo yetu ya internet inakuwa mizito!? Unafikiri ni bahati mbaya. Hizo ni nguvu alizonazo ambazo wewe huna .
Nimekomaa na YouTube karibia saa nzima hamna kitu. Nimeingia humu ndio nikabaini wamepiga spana!Wadau nyie mnatumia VPN?
Kama vile youtube na facebook vimefungwa.
Wakuu!
Humphrey Polepole amesema alijiuzulu Ubalozi wa Cuba ili awe huru kuzungumza kwamba kuna tatizo kubwa katika Taifa letu na sio dhambi kujirekebisha.
Sasa leo saa 2:00 usiku usikae mbali nami hapa nitakuletea kila atakachokizungumza.
Updates... Polepole
Utamaduni, desturi na katika ya Chama cha Mapinduzi Rais Samia hatakiwi kupeperusha bendera ya CCM kipindi hiki kwa msingi kuwa amekuwa Makamu wa Rais, Mungu akampromote kuwa Rais, tunapokwenda kubadilisha awamu tunakwenda kusema tumewaletea hawa, tutakimbia kwa mwendokasi huu.
"Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire', tunataka mtu ambaye anchukizwa na ulegelege huu"
, Salamu ya 'Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.... Kazi iendelee!' inamkiuka Mungu
"Ni Haki ya kila mmoja kugombea lakini haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi."

AiseeTuleteeni mambo huku,serikali nzima inamuogopa sana mpaka wana chomoa manyaya huko TCRA
Alisema atataja 25% ya siriatakuwa na siri zao nyingi sana na ambazo watanzania wakizijua, hao viongozi wataonekana bure kabisa.
Kama Polepole anaweza kuua Chadema, basi Chadema kilijengwa kwenye misingi hewa na hakikustaili basi kuwa Chama cha siasa chenye Nia ya kuchukua dola!!!Pole pole ni mnafiki Sana. Huyu ndio alipambana kuiua CHADEMA kipindi Cha Magufuli, Sasa hivi anajifanya
Kwahy YouTube na FB Ndo dunia?Huoni yu tube na Facebook zimezimwa?. Hiyo ndio nguvu alizonazo.
Hao 6000 wanaotazama wanatumia nini?Haifunguki
Jiulize hadi wakuu wa taasisi wanashindwa kulala wapo maofisini kuhakikisha wanazuia press yake....jarb ku measure!!Ana nguvu kiasi gani aweze kusimamisha nchi ?
Pole pole ni mnafiki Sana. Huyu ndio alipambana kuiua CHADEMA kipindi Cha Magufuli, Sasa hivi anajifanya mwanademokrasia. Very stupid guy.