mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 1,037
- 2,741
Sema watanzania ni rahisi sana kupumbazwa.
Huyo polepole kawekwa kimkakati yuko kwnye mission maalumu. Lengo kuu ni kuwasahaulisha kesi ya lissu na no reform no election. Na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kila mtu saivi anamuongelea polepole, ule moto wa lisu na no reform umeshakata.
Na wanajua watanzania ni watu wa kufuata mkumbo kwenda na trend, hapo jinamizi kubwa ni lissu na no reform yake na huu ni mkakati kudhoofisha
mtakuja kustukia polepole karudi kwny mfumo analamba uteuzi mnabaki mmashangaa
Chadema mkataeni polepole ni mtego huo
NB: Sina chama