Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
AH BALILE WA NINI SASA KESHAHARIBUWakuu!
Humphrey Polepole amesema alijiuzulu Ubalozi wa Cuba ili awe huru kuzungumza kwamba kuna tatizo kubwa katika Taifa letu na sio dhambi kujirekebisha.
Sasa leo saa 2:00 usiku usikae mbali nami hapa nitakuletea kila atakachokizungumza.
limevimbiana mashavuHilo liBalile la nini tena hapo.
Wapo vijana smart wanaokuja juu kama kina Nyanda, Odemba, Charles, Marwa ndio wanaohitajika
Weka link mkuuYuko Live !!
polepole akili hana wakuuUkomo? 🐼
Wap mkuuYuko Live !!