Humphrey Polepole huijui CCM wewe

Ungeyaandika haya wakati wa JPM.ingesaidia sana now is useless

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ccm hamna faida yoyote hapa nchini
CCM bado tupo sana! Kwa hizi siasa zenu za "one man show",CCM itaongoza Nchi hii kwa muda mrefu sana ujao!
Ukitaka kuijua nguvu ya CCM, ona jinsi Patrobasi Katambi,Pauline Gekul, na akina Mwita Waitara wanavyoipambia CCM sasa hivi! Tafuta clip zao humu miaka 7 nyuma uone walivyokuwa wakiongea huku wakitoa mapovu midomoni! Foma Gold haifuati! Leo wako wapi?
 
Usituletee mawazo yako ya KICHADEMA CHADEMA hapa! CCM ni taasisi kubwa yenye mtandao mpana sana ! Hata bila Polepole ushindi wa kishindo uko palepale ! Polepole anapiga kura ngapi kwenye uchaguzi? CCM ni taasisi kubwa siyo hivi vikundi vyenu vya kutafutia ruzuku!
 
Alafu wewe kajamba nani unafaidika nini masikini ya Mungu?
 
Kwanza polepole sio mwanasiasa yule ni mwanaharakati hapo kuna vitu viwili tofauti.
Ila kinanipa mshangao hivi hicho chuo cha uongozi alichoanzisha kimesajiliwa wapi
 
Kwanza polepole sio mwanasiasa yule ni mwanaharakati hapo kuna vitu viwili tofauti.
Ila kinanipa mshangao hivi hicho chuo cha uongozi alichoanzisha kimesajiliwa wapi
Polepole ni msanii tu
 
Wanamchelewesha sana... Afukuzwee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…