Humphrey Polepole kama DC,ataipinga Katiba inayopendekezwa?

Humphrey Polepole kama DC,ataipinga Katiba inayopendekezwa?

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,404
..Humphrey Polepole "alikuwa" ni mmoja wa watu walioipinga "katiba inayopendekezwa" kutoka "bunge maalum la katiba"
..mpaka muda huu bado "kura" ya maoni haijapigwa.Je,Humphrey kama "Mkuu wa Wilaya" ataipinga katiba inayopendekezwa endapo kura ya maoni itaanza?????
 
La haula la kwata kuna kipindi walikuwa wanamsingizia kuwa ni kijana bwana yule
 
Back
Top Bottom