covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 8,355
- 20,792
Aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini cuba amesema kuna siku ilibaki kidogo tu wachamane au wapigane ikulu kutokana na hali ya uzembe ya baadhi ya watumishi wenzake.
My take: kama hadi watumishi yaani viongozi wanataka kuchapana ngumi ikulu hapohapo basi Rais wetu anadharauriwa sana sana na hawa anaowateuwa wasaidie kazi.
Hivi vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimekubwa na nini kwanini yanatokea yote haya jamani.