Humphrey Polepole kuwa Balozi ni promotion, lakini...

Dear P Square root,

First of all, let me congratulate You on your late appearance on a short list. Though, that ain’t a surprise for You as matter of fact.Surprisingly ,One may ask why do I bother to congratulate You anyway!?

I guess, it’s better that my response remain classified for God sake.

Comrade! You have accomplished numerous internal and external critical assignments with great determination, success ,courage and exceptional patriotism.

It’s about time now that you should commence from where you are supposed to after a vow.

I pray that you’ll come back and join us as we mark a Gregorian year in a Golden Land of being physically unexpectedly apart with our everlasting Hero.

May the lord Jesus of Nazareth be with you on a day of taking a vow and on your flight to a foreign farm and during your stay in that farm!

AMEN,

ARTICLE.
 
Kila mtu ana njia zake.

Magufuli anakuponda ponda hata usitambulike,. Maza Mizinguo yeye anakunywesha sumu wewe ikidhani umelambishwa asali!
Pole pole amekula demotion, kwa Sasa lolote linaweza kumpata, mafao ya balozi hayafikii ubunge, hapo anazungushwa zungushwa apate kizunguzungu anaachwa aanguke
 
Hamna kitu yoyote hapo, wameamua tu kuondoa kelele. Hamna promotion yoyote. Hata wangemuacha asingefanya kitu
 
Diplomasia ya Tanzania na Malawi ni ya kawaida sana, hata ushirikiano wa nchi hizi mbili kiuchumi ni mdogo sana ukilinganisha na nchi nyingine kama Uganda na Kenya. Hivyo Polepole asijidanganye, aendeleee na maisha yake kama awali Mama ndio amesha msogeza kando hivyo, ni muda tu.
Baada ya miez kadhaa asishangae amevuliwa huo ubalozi na kubak hana chochote huyo Mama kawaza mbali
 
Njia moja wapo ya kumpiga na chini. Rais hakuwa na namba ya kumnyang'anya ubunge kutokana ukimya wa katiba wa namna ya kutengua ubunge wa kuteuliwa na Rais.

Kwenye ubalozi ni rahisi tu.

Just my mtazamo.

ndio hivyo
 
Kisheria balozi unaweza kisitishwa muda wowote ila ubunge huwezi kusitishwa.

Polepole ametolewa kwenye reli kijanja baada ya mwaka anarudishwa nyumbani kupumzisha fuvu.
 
POLEPOLE KUWA BALOZI NI PROMOTION LAKINI........

Na Elius Ndabila
0768239284

Leo Mhe Rais amemteua Mhe Humphrey Polepole kwenda kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi. Ikumbukwe kuwa Mhe Polepole Kwa siku za hivi karibuni alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya awamu ya sita Kwa alichokiita shule ya uongozi...
Wenzako hawafananishi Ubalozi na Ubunge wanafananisha Mustakabari wa Kisiasa wa Polepole kwani ndio Maisha yake
 
POLEPOLE KUWA BALOZI NI PROMOTION LAKINI........

Na Elius Ndabila
0768239284

Leo Mhe Rais amemteua Mhe Humphrey Polepole kwenda kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi. Ikumbukwe kuwa Mhe Polepole Kwa siku za hivi karibuni alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya awamu ya sita Kwa alichokiita shule ya uongozi...
Haja chanja sasa itakuwaje na yeye msimamo wake alisema hatokaa achanje
 
Dear P Square root,

First of all, let me congratulate You on your late appearance on a short list. Though, that ain’t a surprise for You as matter of fact.Surprisingly ,One may ask why do I bother to congratulate You anyway!?

I guess, it’s better that my response remain classified for God sake.

Comrade! You have accomplished numerous internal and external critical assignments with great determination, success ,courage and exceptional patriotism.

It’s about time now that you should commence from where you are supposed to after a vow.

I pray that you’ll come back and join us as we mark a Gregorian year in a Golden Land of being physically unexpectedly apart with our everlasting Hero.

May the lord Jesus of Nazareth be with you on a day of taking a vow and on your flight to a foreign farm and during your stay in that farm!

AMEN,

ARTICLE.
😀
 
Hivi ni vitu vya kawaida...baada ya misukosuko ya Lowasa ..Magufuli aliposhinda urais alimpeleka Dk Nchimbi Brazil kuwa balozi
 
Pole pole alipiga kelele akiwa mbunge. Alijua mama hawezi kutengua ubunge wake hivyo alipiga kelele anavyotaka. Ilikuwa lazima atoke bungeni. Na kumtoa bungeni NI kumpa utumishi wa Umma sababu ubunge hautenguliwi.
Polepole keshatolewa bungeni na akileta utoto wake tu anatupwa mazima.
.
 
unauhakika wangeamua kumtengua kwenye ubunge wangeshindwa?

muulize ndugai
 
Pole pole alipiga kelele akiwa mbunge. Alijua mama hawezi kutengua ubunge wake hivyo alipiga kelele anavyotaka. Ilikuwa lazima atoke bungeni. Na kumtoa bungeni NI kumpa utumishi wa Umma sababu ubunge hautenguliwi.
Polepole keshatolewa bungeni na akileta utoto wake tu anatupwa mazima.
.
Siasa ndio basi tena
 
Something hidden is bringing out very slowly, and Polepole anaweza kuwa dust kwa siku za usoni.

Tukae kwa uangalifu.
Wala sio siri mbona, mara nyingi jamaa hufuata tarehe zao zilezile , ndio maana hili linafanyika karibu kabisa na siku ile,
 
Back
Top Bottom