Humphrey Polepole kuwa Balozi ni promotion, lakini...

"When you cut out the tongue of a man, you’re not convincing the world he’s a liar. You’re only telling the world you fear of what he might say".
 
Tafsiri ya Ubalozi kwa Tz Ni demotion huu ndio ukweli kwa mujibu wa mfumo wetu yaani hapo kapotezwa[emoji1787][emoji1787]
 
Kama ubalozi ni promotion kwanini wana acha kazi za ubalozi tena nchi za Ulaya wanakuja kugombea ubunge? ubunge ni mgodi unaotembea, heshima mjini ni pesa na siyo sifa
 
Ni mjinga tu anayeweza Amin kuwa eti pole pole amepata promotion, for.
Ni mjinga pekee anayeweza Sema pole pole amepata promotion. Mabalozi wangapi wanatoka kwenye baloz kuja kugombea ubunnge kipindi Cha uchaguz. Hapa kisiasa ni demotion tu.

Sema ni vile bora nusu shar kuliko shar kamili
 
Mama kaamua kumtoa kwenye mfumo wa siasa maana atakuja kumhalibia kwa kuwa anapiga serikali yake.
Kwanini polepole anatazamwa kama threat (tishio) kwny serikali ya Samia..? mtu hana dola, hana ukwasi, hana cheo, kwanza hata ushawishi wake mbona ni wa kawaida sana..Kundi linaloshinikiza polepole atelekezwe ndio haohao wanaompa umaarufu bila wao kujua..the guy is terribly growing famous!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…