Polepole unakosea ,,sema genge la ccm
Humphrey Polepole amesema leo Septemba 18, 2025 atajibu barua ya wito wa Polisi na mengine, ameomba umma wa watanzania uungane naye kupambana na wahuni na kundi la wanamtandao.
View attachment 3475052
Hayo mawani yenyewe yanavaliwaga na wahuni tuNdugu zangu leo 18 Septemba 2025 muda wowote kutoka sasa tunapanda hewani mjulishe na mwenzio. Niko na majibu ya waraka wa Jeshi la Polisi na mengine yahusianayo! NB: naomba Jeshi la Polisi muungane nami wakati wowote kutoka sasa kazi ya kupambana na wahuni na genge la Mtandao ni yetu sote! #kataawahuniView attachment 3475068
Kweli amedhamiria. From Vieite to Vibaisko