Humphrey Polepole: Leo Septemba 18, 2025 nitajibu barua ya wito wa Polisi, unganeni nami kupambana na wahuni

Humphrey Polepole: Leo Septemba 18, 2025 nitajibu barua ya wito wa Polisi, unganeni nami kupambana na wahuni

Anasema walimpeleka ng'ambo na Sasa hawataki kumrudisha. Sasa ataitikiaje wito kwa kutelekezwa!!!
Alitekelezwa?Au alijiuzulu mwenyewe.Jiko limeanza kupata moto.Kujiuzulu tena bila kufuata utaratibu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
 
Hapa patamu sana. Naomba unifundishe namna ya kujiuzulu kwa kufuata utaratibu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Africa Mashariki.

Natanguliza Shukrani kwa elimu utakayonipatia.
Wewe ukitaka kujiuzulu kazini kwako assuming unafanya kazi unaanza na nini?Tuanzie hapo then tutaendelea.
 
Kwa mujibu wa taratibu za kazi unaanza kwa Mkuu wako wa kazi kwenye suala la Polepole ni Waziri Mohamoud Thabit Kombo.Hujiuzulu kwa kuandika barua mitandaoni.
 
Watu walitegemea eti Polepole ndio solution.Mwenye kuzama haishi kutapatapa. Hata akiona ujani unaelea anaukimbilia akidhani utamuokoa.Wengi sasa wameshazinduka ndio maana hamna hype kama ya mwanzo.Wamegundua ni debe tupu By the way Gwajima nae atatokeza lini?

aiseeee
hii wapi inatokea hivi, naona napitwaaaa?
 
Polepole amekoleza maneno ya Mange Kimambi kuwa Abdul ndiye paymaster wa kikosi kazi kinachoteka, kutesa, kupoteza na kuua wakosoaji hasa wanachama wa Chadema.
 
Coco usiwe hivo, humu utachelewa si unaona mpaka sasa umesema umepitwa.

kuchelewa kwani nawahi wapi!!!!!!

😂 huko kupitwa acha tu nipitwe mtayaleta tu humu sebuleni kwetu wengi, nitasoma.

ya kutengeneza pesa mbona hutaki kuniambia!!!!? eeeeeh
 
kuchelewa kwani nawahi wapi!!!!!!

😂 huko kupitwa acha tu nipitwe mtayaleta tu humu sebuleni kwetu wengi, nitasoma.

ya kutengeneza pesa mbona hutaki kuniambia!!!!? eeeeeh
La kutengeneza pesa hilo niachie mimi😂
 
Back
Top Bottom