Ndugu zangu leo 18 Septemba 2025 muda wowote kutoka sasa tunapanda hewani mjulishe na mwenzio. Niko na majibu ya waraka wa Jeshi la Polisi na mengine yahusianayo!
NB: Naomba Jeshi la Polisi muungane nami wakati wowote kutoka sasa kazi ya kupambana na wahuni na genge la Mtandao ni yetu sote!
View attachment 3475052
Alitekelezwa?Au alijiuzulu mwenyewe.Jiko limeanza kupata moto.Kujiuzulu tena bila kufuata utaratibu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.Anasema walimpeleka ng'ambo na Sasa hawataki kumrudisha. Sasa ataitikiaje wito kwa kutelekezwa!!!
Hapa patamu sana. Naomba unifundishe namna ya kujiuzulu kwa kufuata utaratibu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Africa Mashariki.Kujiuzulu tena bila kufuata utaratibu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Wewe ukitaka kujiuzulu kazini kwako assuming unafanya kazi unaanza na nini?Tuanzie hapo then tutaendelea.Hapa patamu sana. Naomba unifundishe namna ya kujiuzulu kwa kufuata utaratibu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Africa Mashariki.
Natanguliza Shukrani kwa elimu utakayonipatia.
Mimi sina kazi ya kuajiriwa. Najitegemea! Toa tu elimu Ndugu bila vikwazo. Mungu atakulipa.Wewe ukitaka kujiuzulu kazini kwako assuming unafanya kazi unaanza na nini?Tuanzie hapo then tutaendelea.
Watu walitegemea eti Polepole ndio solution.Mwenye kuzama haishi kutapatapa. Hata akiona ujani unaelea anaukimbilia akidhani utamuokoa.Wengi sasa wameshazinduka ndio maana hamna hype kama ya mwanzo.Wamegundua ni debe tupu By the way Gwajima nae atatokeza lini?
Unapitwa wapi coco uliza nitakujibuaiseeee
hii wapi inatokea hivi, naona napitwaaaa?
Unapitwa wapi coco uliza nitakujibu
Wewe hufatilii spana za Ndugu Polepole toka cuba?Nitumie namba yako niwe nakutumia link usiachwenimeeka bold kwa maneno nimeuliza.
Wewe hufatilii spana za Ndugu Polepole toka cuba?Nitumie namba yako niwe nakutumia link usiachwe
Sasa utapataje updates za polepole mimi ndio wakukupa.Mmmh namba tena!!!!!!!!!!!!
Sasa utapataje updates za polepole mimi ndio wakukupa.
Coco usiwe hivo, humu utachelewa si unaona mpaka sasa umesema umepitwa.π andika humu... nitagi nitasoma.
Coco usiwe hivo, humu utachelewa si unaona mpaka sasa umesema umepitwa.
La kutengeneza pesa hilo niachie mimiπkuchelewa kwani nawahi wapi!!!!!!
π huko kupitwa acha tu nipitwe mtayaleta tu humu sebuleni kwetu wengi, nitasoma.
ya kutengeneza pesa mbona hutaki kuniambia!!!!? eeeeeh