Ndani ya muda mfupi wa miaka takribani 4, tumewapoteza Polepole na Magufuli kama viongozi wazalendo na wapiganaji hodari wa taifa hili la Tanzania.
Lakini nataka kujadili zaidi kuhusu mzalendo Polepole na utata wa kutoweka kwake hadi sasa. Mpaka sasa najiuliza maswali mengi kuhusu kupotea kwake, na kwa nini imekuwa hivyo, hebu tuzingatie mtiririko huu;
1. Katika kuelekea October 29 ,ambayo mara zote kwenye mazungumzo yake akikosoa serikali alikuwa akisema uchaguzi haupo, mpaka tupate muafaka wa kitaifa kwanza.
2. Katika mazungumzo yake mara zote alisisitiza wahuni wanamtafuta vibaya munoo, na akasema hawawezi kumpata kwa sasa, vile vile akatueleza, baada ya kujiuzuru ubalozi alitelekezwa huko, hakurejeshwa nchini.
3. Wakati wote tukiamini hayupo nchini, ghafla anaibuka mtu alijiita Kapteni Tesha, akisema yeye ni askari wa JWTZ kutoka kamandi ya anga.
4. Huyu Kapteni jeshi alionekana kama anasoma hotuba maalumu iliyoandaliwa kwa kigugumizi na kutojiamini kupita kiasi, yote aliyoyagusia yalikuwa yaleyale ambayo siku zote Polepole aliyazungumzia.
5. Baada ya Kapteni Tesha kuzungumza, siku ile ile jioni, msemaji wa JWTZ kupitia vyombo vya habari anatoka na kutoa taarifa kwa umma, taarifa hii, haikumtaja au kumkana popote Huyo Kapteni Tesha, lakini ilisisitiza jeshi lisiingizwe au kuhusihswa na siasa.
6. Baada ya ufafanuzi huo wa JWTZ, kesho yake mzee Butiku anitisha press na kumkosoa vikali na kusema Kapteni Tesha siyo askari wa JWTZ na kuzungumzia muafaka wa kitaifa.
7. Baada ya mzee Butika kuitisha press, Polepole naye akapanda hewani kuzungumza na wananchi ambapo alitumia dakika 6 tu siku hiyo, katika maongezi yake Polepole akasema kuna baadhi ya Wazee wamesaliti na kuahidi kuwa anakwenda kujianda na mambo kadhaa atarudi kuelezea kwa undani baada ya siku 2 au 3.
8. Siku hiyo hiyo, majira ya sanane taarifa zikatoka ametekwa akiwa hapa hapa nchini ,maeneo ya ununio alipokuwa amepangishwa nyumba ya kuishi. Taarifa iliyotolewa na Kaka yake aitwaye Godfrey Polepole.
Baada ya mtiririko huu, sasa tujiulize, Ndg Polepole kutokana na uzoefu wake wa kufanya kazi serikalini muda mrefu na kuzijua sana mbinu za wahuni(kama alivyowaita), nini kilimsukuma kurudi nchini, huku akijua kwake asingekuwa salama?
Kama ndg zake Mwanzoni kabisa walikamatwa na kutishiwa waseme wapi alipo, lakini wakasema hawajui, Mzalendo wetu Polepole ilikuwaje awe tena na wasaidizi 2 nje ya wanafamilia tena akijua anawindwa sana na wasiojulikana?, maana hawa wangetumika kumchoma mapema kabisa.
Je! ni kweli alichomwa na watu wake wa karibu sana waliomo kwenye system, aliowaamini mnoo, wakamshawishi arudi nchini watamlinda kwa hali na mali na mwisho wake wakaishia kumchoma na kumtoa kafala.
Nitamkumbuka sana kwa uzalendo wake kwa nchi na kauli yake " Hii vita tunashinda, wahuni hawana nafasi kwenye taifa letu" bila kusahau maneno yake: wahuni wana Bagaza, kubananga na kutindinganya rasilimali za taifa letu.
Taifa limepoteza Mzalendo wa Kweli.
Mazungumzo yake, siku ya mwisho, kabla ya kutekwa;