Hakuna mwenye akili anaweza kumwunga mkono mtu mnafiki kama Polepole.
1) Wakati akiwa mjumbe kwenye tume ya Warioba, alisema nini kuhusu katiba mpya?
2) Aliposhibishwa tumbo na Magufuli alisema nini kuhusu katiba mpya?
3) Alipokuwa mjumbe wa Tume ya Katiba alisema nini kuhusu maDC na maRC?
4) Aliposhibishwa tumbo kwa kupewa uDC, alisema nini kuhusiana na kazi za DC?
Mtunafiki, anayeongea kwa kutegemea siku hiyo tumbo limejaa au lina njaa, naye ni wa kumfikiria kuwa anaweza kutoa mchango wa maana? Polepole ni mnafiki, mwongo, na asiye na chochote anachosimamia.