mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,108
- 3,155
- Thread starter
-
- #41
Mkuu mi natafuta hela kwa jasho langu na kamwe sijawa waza kuiba au kupiga dili.Umejiweka bayana wewe ni mtafuta pesa hauna wito wa kuwatumikia wananchi ndio maana unashangaa huyo unayemshambulia kwamba amekosa nini hadi kuanza kukosoa.
Hayupo kwa ajili ya kutafuta pesa ila kuhakikisha watanzania wanapata haja ya moyo wao sivyo walivyo wapigaji na madili mnawaza kupiga kama wewe
Unadhani nini anakosa huyu kijana mpaka aamue kujitoa mhanga hadharani ili akipate?In short ni kwamba Kwa maisha yale aliyoishi na Magufuli na speech zake za kipindi kile
Ni dhahiri hakuna mtu mnafiki kama POLEPOLE
NI Opportunist flani hivi
Mtu mwenye Rangi za huyo kiumbe unawezaje mwelewa.🦎Mimi naona huyu jamaa huwa ana Dance according to the tunes just to satisfy his thirsty, kwenye katiba mpya aliunga mkono sana alipokuwa nje ya system lakini alipoingizwa kwenye system akasema katiba mpya haina umuhimu wowote, ni vipi Unaweza kumuamini MTU wa aina hiyo ?
Hakuna cha kubadili chama wala visasi, naye kaoza tu hana uzalendo wowote. Polepole ni kigeugeu, huwezi kumuamini mtu ambaye leo anasema hivi kesho anasema vile. Eti kwa sasa hatuhitaji katiba wakati mieiz kadhaa nyuma kabla ya kushiba alikuwa anaililia katiba. Mtu kama huyu ni hatari hawezi kuaminika.Tatizo mnaongozwa na chuki na visasi.Mfuatilie vizuri POLEPOLE akiwa kiongozi wa ccm. Alikuwa anakibadili chama taratiibu na alishaanza kufanikiwa.
Vipi kile anachokizungumza,ni sahihi au?Polepole watatiu tofauti. pole pole wa katiba ni tofauti na polepole wa JPM ambae alisema atuongei wakati wa kula. na saiz ni pole pole aliemaliza kula na ndio maana anaongea
Vipi kile anachokizungumza,ni sahihi au?Polepole watatiu tofauti. pole pole wa katiba ni tofauti na polepole wa JPM ambae alisema atuongei wakati wa kula. na saiz ni pole pole aliemaliza kula na ndio maana anaongea
Vipi kuhusu anachokiongea?Hakuna cha kubadili chama wala visasi, naye kaoza tu hana uzalendo wowote. Polepole ni kigeugeu, huwezi kumuamini mtu ambaye leo anasema hivi kesho anasema vile. Eti kwa sasa hatuhitaji katiba wakati mieiz kadhaa nyuma kabla ya kushiba alikuwa anaililia katiba. Mtu kama huyu ni hatari hawezi kuaminika.
Mrija umekatwa anaweweseka tu.Vipi kuhusu anachokiongea?
Ccm huwa hawana akili ya kuchanganua mambo?Kwa hayo maelezo yako uliyotoa hapo ukianzia kwenye mchakato wa katiba kisha katika kipindi cha hayati Magufuli na sasa hapo alipo na alivyo huoni kuwa huyo jamaa ni kigeugeu ? ?!!
kuu katika sehemu ambayo chadema ilionekana kama mkombozi kwa wananchi ni katika hili hili analozungumzia HUMPHREY (ufisadi).
Ilipoacha tu kuzungumzia na ikapoteza mvuto kwa kiasi fulani.
ZITTO FILIKUNJOMBE(RIP) walipata kuaminiwa na wananchi walipoonyesha kupambana(kuwaibua)mafisadi lakini alipokumbwa na kashfa ya rushwa na yeye wananchi wamempuuza.
MAGUFULI(shujaa wa afrika) amekubalika sababu ni hiyohiyo.
POLEPOLE kaja na ajenda ya ufisadi mnambeza mnadai eti aliisaliti katiba,wakati rasimu alipoleta bungeni mkajiundia kikundi cha kutoka nje mkakiita UKAWA.
Mkafanyaa vurugu mpaka bunge likavunjwa.
LEO mnalilia katiba mpya tena.Ni mjinga tu ndiye atajiunga au kusapoti hicho chama chenu
Usisahau pia alikua ni Mzee wa VieiteHuyuhuyu aliyenunua wale wabunge?!!!
Huyuhuyu aliyewaahidi kuteuliwa wale "viti maalum"?!!!😳😳😳
Hakuna mwenye akili anaweza kumwunga mkono mtu mnafiki kama Polepole.
1) Wakati akiwa mjumbe kwenye tume ya Warioba, alisema nini kuhusu katiba mpya?
2) Aliposhibishwa tumbo na Magufuli alisema nini kuhusu katiba mpya?
3) Alipokuwa mjumbe wa Tume ya Katiba alisema nini kuhusu maDC na maRC?
4) Aliposhibishwa tumbo kwa kupewa uDC, alisema nini kuhusiana na kazi za DC?
Mtunafiki, anayeongea kwa kutegemea siku hiyo tumbo limejaa au lina njaa, naye ni wa kumfikiria kuwa anaweza kutoa mchango wa maana? Polepole ni mnafiki, mwongo, na asiye na chochote anachosimamia.
Mwenyewe nimejuta kusoma huo uchafu wakeNikajua Kuna jambo la maana unaandika kumbe ni mdomo unaharisha. Na mdomo unatawaza hapa JF