Na hapo bado ni mmoja, tulia aje wa pili, wa tatu na wafike wanna ...namwona ushungi akirusha mbaliga kuelekea uajemiNimeanza kuogopa huyo mtu sio wa kawaida
Nani sio wa kawaida?Nimeanza kuogopa huyo mtu sio wa kawaida
Jamaa kawakalia kubaya, kashika nyeti zao live liveAna SIRI NYINGI
Kabisa alf anasema kuna watekaji anawajua na ni viongozJamaa kawakalia kubaya, kashika nyeti zao live live