Humphrey Polepole ni nani?

siasa ni mchezo wa kujipunguza akili kwa makusudi kabisa....tena mpaka mkeo na watoto/wako wanakuwa wanajua ukusudi huo ili mradi tuu shimo la majitaka liongezeke ujazo daily.....🙄🙄🙄
 
Jamany polee mamii[emoji8] [emoji8]
zamani nilikuwa naogopa ban lakini sasa siogopi kuna raia humu wanaleta uzwazwa na mie nakomaa nao mtu anaanza kukutukana from no where kisha anareport ajabu mod watakupa ban wewe uliyemjibu kudadadeki zao hata wao
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] achana nao baby wasikubabaishe
 
Shibe na uteteaji wa kibarua chake kumemfanya ajitoe ufahamu..
 
Mimi naangalia scientific connection ....in science we do not believe in logic...but facts....Humphrey PolePole katimia facts Zitto alitumia logic
Hujawahi soma science... electric circuits zinatumia logic kuwasha complex systems!
 
Zito kasema Polepole mimi siyo saizi yake aende huko akatafute wa.. wenzake
 
Upumbavu ni nini?Upumbavu ni hali ya kuujuwa ukweli,kuuona ukweli,lakini bado unaendelea kuamini katika uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…