Humphrey Polepole ni nani?

Ubongo wa polepole upo kwenye mchakato wa "evolution" toka kuwa "mentally fit" kuelekea kuwa "mentally retarded"
 
mtu akiongea ukweli amebadilishwa ubongo....kweli bongo tambalale Mungu atutetee.
 
Mtoto wa form four ana uwezo wa kuelewa hoja za polepole?
Mkuu Zito ni mchumi na ana degree. Pole pole ana degree ya nini na ni nani by professional ??????????
Itatusaidia kujua ni nani anashindwa kumuelewa mwenzake!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nashindwa kuelewa Polepole ni katibu mwenezi wa chama kwann anaongelea taaluma za watu kwani ndio msemaji wa serikali??
 
Kujitoa ufahamu na mtaa wa tumbo Wahenga wanasema kuganga njaa.

Polepole ni hazina inayopaswa kulindwa , anapambana kisawasawa na upotoshaji unafanywa na wapuuzi wasiyoitakia mema nchi hii. Bila shaka ameshajenga uadui kati yake na majambazi hawa. Mungu amlinde daima.
bado unasimamia kauli yako?
 
Huyu kwangu namwita kijana shujaa katikati ya wanyama wakali na mchukulia kama kijana wakuingwa ndani ya taifa letu Tanganyika aka Tanzania nihazina kubwa sana hongera sana kijana Polepole
Kuna kitu unatafuta wewe si bure..!
 
Alikuwa nzuri sana wakati ule na wengine tulimkubali, lakini hivi sasa ameyageuka yale aliyoyaamini na kuyapigania amekuwa his master's voice!
 
Ni mchumia tumbo, aliyekuwa akiandaa mazingira ya tumbo lake kula vizuri. Ni mpuuzi, mzandiki, mlafi na mtu anayetumia tumbo kufikiri kuliko kichwa
 
Polepole ni hazina inayopaswa kulindwa , anapambana kisawasawa na upotoshaji unafanywa na wapuuzi wasiyoitakia mema nchi hii. Bila shaka ameshajenga uadui kati yake na majambazi hawa. Mungu amlinde daima.
Viapo vingine unaweza kuvikataa. Eti "...daima..."
 
Huyu kwangu namwita kijana shujaa katikati ya wanyama wakali na mchukulia kama kijana wakuingwa ndani ya taifa letu Tanganyika aka Tanzania nihazina kubwa sana hongera sana kijana Polepole
Njoo umsifia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…