Humphrey Polepole ni nani?

Watu kwenye ma CV yao kuanzia chipukizi kupitia jeshi kutumikia chama toka ngazi za chini,kusomea sayansi na utawala ndani na nje ya nchi,kusimama na kukijenga chama wakati kinaanguka Leo wanakalishwa na machalii walobebwa na ukanda,chalii na kadegeree ka ushirika moshi,aliyeshindwa hata kuisimamia katiba aliyotafutia umaarufu, aliyetushawishi hadharani tusiichague ccm baadae akabadilika kisa mtu kama kawaida yake. Leo anafukuza watu eti hawana maadili,Leo eti anakijua chama saana kuliko wakongwe,na wanachama wanamtetemekea!!?? Ndotujue elimu yetu inashida kubwa paali...haitufanyi kujiongeza kufikia mahali yeyote tuu anaweza kuwa rais na akasifiwa hata anapoharibu maisha yawatu! acha tuteseke tuu hamna namna! MTU anatesti tuu cheo kikuuubwa anaula kweli.
 
Chakubanga yupi?

Wapo wawili. Yule wa Katiba mpya timamu na huyu wa mbogamboga asiyejitambua kabisa.
 
Huu uzi ungefutwa, tuzo ya heshima hastaili tena kuipata sababu kawasaliti wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi bado unamwelewa mpaka sasa?[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…