Humphrey Polepole ni nani?

CCM wana nguvu ya Rasilimali watu na pesa pia najua kuwapinga na Hoja yao ya Serikali 2 ni sawa na kujaribu kuzuia mvua kwa gazeti. Kosa la UKAWA ni kukimbia mapambano wakati vita imeanza!
 
ccm wananguvu ya rasilimali watu,na pesa pia najua kuwapinga na hoja yao ya serikali 2 ni sawa na kujaribu kuzuia mvua kwa gazeti. Kosa la ukawa ni kukimbia mapambano wakati vita imeanza!

"To evade a blow is not cowardice"
 
CCM wananguvu ya Rasilimali watu,na pesa pia najua kuwapinga na Hoja yao ya Serikali 2 ni sawa na kujaribu kuzuia mvua kwa gazeti. Kosa la UKAWA Ni kukimbia mapambano wakati vita imeanza!
Tunamzungumzia Polepole, mjumbe wa tume ya katiba haya mwenzetu UKAWA kaingiaje humu?
 
Yupo huyo Polepole na mwingine Julius Mrutu (ITV/Radio one) wanamtumia sana.

Ni jasiri sana.
 
Hakika ni kijana aliyejawa na hekima mnoo... uchambuzi wa katiba na busara alizonazo hakika amebarikiwa.
 

Waheshimiwa Jamiiforums ni mahali pa kuleta habari then unamalizia kutoa maoni lakini hii imeanzia kwenye maoni inatuweka wengine pembeni
 
Huyu Humphrey Polepole ni hazina ya taifa letu. Ni kijana mzalendo kupita kiasi. Mungu amubariki sana.
 
Ndivyo watakavyofanya kwenye bunge la kawaida. Tusubiri tuone.
 
Wakuu leo nilikua nafwatilia mdahalo wa ITV kuhusu rasimu ya katiba. Nimemwona kijana machachari Humphrey Polepole alivyokuwa akichangia mada kwa umakini na upeo wa hali ya juu sana, hata zaidi ya kiongozi wa ngazi ya juu kabisa wa serikali yetu.
Ningependa mwenye historia fupi ya huyu jamaa atujuze kwa kina.
 
Nilikuwa namsikiliza huyu kijana mwenzangu Humphrey Polepole aliyekuwa mjumbe wa tume ya katiba, kiukweli huyu kijana kailezea vema sana maoni ya wananchi ya katiba hasa serikali tatu.

Pia namuona ana mvuto wa kisiasa sijui kwanini bado yupo shimoni kisiasa.
 
Huyu kijana ni kichwa kweli kweli, anajua kufafanua kwa undani sana mambo. Sasa ndio nagundua kwanini CCM waliifuta tume isiwe sehemu ya bunge maalum ili kufafanua mambo, wangeumbuka kwa huyu kijana.
 
Ni ukweli anayosema huyu kijana na ukweli haujifichi serekali tatu nimaoni ya wananchi siyo ya chama chochote cha siasa, nashanga upande wa pili wao wakichukulia siasa
 
ndio vijana tujifunze kutoka kwake yale mazuri unayoyaona anayoyafanya kwa ufanisi
 
Maadam CCM ipo bado madarakani hakuna namna serikali 3 itapita. Watatumia mbinu zote ikiwezekana KUIBA & KUHONGA. Nyi ongeeni yote but serikali 2 ndio CCM wanaitaka kwa mustakabali wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…