Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ccm wananguvu ya rasilimali watu,na pesa pia najua kuwapinga na hoja yao ya serikali 2 ni sawa na kujaribu kuzuia mvua kwa gazeti. Kosa la ukawa ni kukimbia mapambano wakati vita imeanza!
Tunamzungumzia Polepole, mjumbe wa tume ya katiba haya mwenzetu UKAWA kaingiaje humu?CCM wananguvu ya Rasilimali watu,na pesa pia najua kuwapinga na Hoja yao ya Serikali 2 ni sawa na kujaribu kuzuia mvua kwa gazeti. Kosa la UKAWA Ni kukimbia mapambano wakati vita imeanza!
Tunapozungumzia wazalendo na watu wenye KARAMA ya Mungu huyu jamaa pia yumo.
Hakika anayachambua na kuyaweka bayana kabisa masuala hususani yale ya kwenye Rasimu.
Jamaa ni mtu wa pekee kabisa,hakika anajua.Mungu amsaidie kwakweli.
Kama kweli una mtazamo CHANYA na haujajazwa MANENO utamwelewa sana bwana Polepole.
Ndivyo watakavyofanya kwenye bunge la kawaida. Tusubiri tuone.Hawawezi maana hiyo 2/3 iko kwenye sheria. Labda sasa wasubiri Bunge la kawaida litakapokaa. Kanuni wanaweza kupindisha na je, kura ya maoni itakuwaje? Au nayo watabadili tena? Kumbuka sheria hiyo ilivyowasumbua upande wa Z'bar wakati wanakwenda kuitetea, hadi ikachanwa. Kwa ujumla ni busara ndogo ya wajumbe iliyosababishwa na Rais mwenyewe. Aliteua wajumbe ili wakashindwe kujadili.
Hawa wanaodhani akili imejaa kumbe ni wajinga tu, Unawezaje kupanga mchezo na sheria zake, ukasema mfano, tuanze riadha, halafu ukizidiwa unasema tubadili sheria ili mchezo uwe ni rugby. Watu waanze kukabana koo na miguu!
Ni Humphrey na sio Amfrey
Iko wapi?