Humphrey Polepole ni nani?

Mkuu hiyo omekaa vizuri sijui kama Nape & Co wataiona.
 
....na wewe tamka kimoyo-moyo neno "MTANDAO" mara 5 kisha usirudie tena huo ujinga wako hapa.
Usifanye unajua kila kitu wakati na wewe huwa unakosea. hebu angalia hapo chini kama hukuwa kupost hiyo.

Samahan mkuu hao magreat thinkers walishuka tu toka mbinguni? historia ni muhimu nafikir!,mfikishie pokola
 


Aliwahi kutamka wazi wazi kwenye Malumbano ya hoja Itv kuwa yeye ni mwanachama hai wa ccm lakini suala la katiba ni kwa manufaa ya wananchi wote wenye vyama na wasio na vyama,Mungu na amtangulie sababu wasema ukweli na wenye kuusimamia ukweli wazi wazi ni wachache na maadui wao ni wengi.
 
pole pole alikuwa ni rebo nyeusi kaka.
Kama unakumbuka alikuwa pamoja na kiranja mmoja alikuwa mnoko sana baadae akapata div4 alikuwa anaitwa nyakia.

unazungumzia james nyakia? Humphley polepole ni kijana nilikuwa nakutana nae unicef kila jumamosi ya kwanza ya mwezi kwenye mijadala iliyokuwa ikifanyika hapo unicef karibu na maktaba pale.anauwezo mzuri sana wa kujenga hoja.aliwahi kuwakilisha vijana kuonana na rais abdul wande,
 
ni mjumbe wa iliyokuwa tume ya kuandaa .kukusanya,kuandika rasmu ya katiba ni kijana mmoja mwenye uwezo mkubwa sana wa kuchambua masuala ya katiba. Amajitahidi sana kuwaeleza watanzani juu ya rasimu iliyopingwa teke na wajumbe wa ccm hapo dodoma ambao wanajiita waumini wa serikali mbili (hilo ni kanisa jipya la ccm lenye waumini wa serikali mbili)
 
Proudy to be mwana Azaboy.
 

yule ni Nyakia Ally,kama sijasahau.
 
ni mwanachama mtiffu wa ccm,,,na hii ndio demokrasia pana ya ccm sio ya kupga magoti na kutopingana mawazo ya chadema
Hujui unachikisema wewe ....ccm ipi inayojali demokrasia kwa kutupilia mbali maoni ya wananchi? wewe baki kufua chup za kinaana tu
 
Mwigulu wasira lukuvi Hamna kitu wao kurudia ya Mwenyekiti wao Choka mbaya ccm
 
ni mwanachama mtiffu wa ccm,,,na hii ndio demokrasia pana ya ccm sio ya kupga magoti na kutopingana mawazo ya chadema

Sasa mbona huku zanzibar ukiwa aganst na system unafukuzwa ?au mansuor hujasikia yaliyo mkuta?ukiwa muongo jaribu kutunza kumbukumbu
 
Mungu atamlinda Humphrey kina mwakyembe wamepewa vyeo wamesahau majeraha
 
Zito kwisha habari take me mnamkumbuka Masumbuko Lamwai?alikuwa kama Zito kwisha kabisa aliusaliti upinzani
 
Nape mwigulu na Mzee Tyson wasira Hamna kitu majungu siasa wanalazimisha
 
CCM wananguvu ya Rasilimali watu,na pesa pia najua kuwapinga na Hoja yao ya Serikali 2 ni sawa na kujaribu kuzuia mvua kwa gazeti. Kosa la UKAWA Ni kukimbia mapambano wakati vita imeanza!

rasilimali watu ipi unayo iongelea wewe? Hiyo ya hao wapumbavu wanao lishwa ubwabwa na maharage??? toa ufafanuzo juha wewe!
 



Aangalie wasije waka Msengondo Mvungi bure, Hawakawii hao magamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…