Hapana ndugu,alikuwa label ya kijani,nyekundu tulikuwa sisi kwa intake ya 1998.
Poa kaka mi nlikuwa ya blue intake ya1999
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ndugu,alikuwa label ya kijani,nyekundu tulikuwa sisi kwa intake ya 1998.
Mkuu hiyo omekaa vizuri sijui kama Nape & Co wataiona.Mkuu hilo lisikukatishe tamaa. Yalishatokea nchi nyingi sana duniani, mabadiliko yakishafikia muda wake hakuna kitakachozuia. Phylosopher mmoja aliwahi kuandika kuwa kwenda kinyume na mabadiliko yaliyo dhahiri ni sawa na kula supu ukitumia kisu chenye ncha kali.
Asante kwa correction kaka...."...to awaken,strengthen to fill our hungry minds..."
Ajiangalie wamemvumilia sana isije sasa akan'golewa meno bure.
....na wewe tamka kimoyo-moyo neno "MTANDAO" mara 5 kisha usirudie tena huo ujinga wako hapa.
Usifanye unajua kila kitu wakati na wewe huwa unakosea. hebu angalia hapo chini kama hukuwa kupost hiyo.
Humphrey Polepole, mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba amekuwa mstari wa mbele kutoa maelezo, ufafanuzi na kukabiliana kwa hoja na Wapinzani wa rasimu katiba iliyowasilishwa.
Kipekee nampongeza sana kwani tume ilikuwa na wajumbe wengi lakini wengine wako kimya ila Bwana Polepole amekabiliana nao na anaendelea kukabiliana nao dhidi ya upotoshaji, kwangu mimi Bw Polepole anastahili tunzo ya heshima.
Nawakaribisha wadau kwa maoni.
pole pole alikuwa ni rebo nyeusi kaka.
Kama unakumbuka alikuwa pamoja na kiranja mmoja alikuwa mnoko sana baadae akapata div4 alikuwa anaitwa nyakia.
Proudy to be mwana Azaboy.unazungumzia james nyakia? Humphley polepole ni kijana nilikuwa nakutana nae unicef kila jumamosi ya kwanza ya mwezi kwenye mijadala iliyokuwa ikifanyika hapo unicef karibu na maktaba pale.anauwezo mzuri sana wa kujenga hoja.aliwahi kuwakilisha vijana kuonana na rais abdul wande,
unazungumzia james nyakia? Humphley polepole ni kijana nilikuwa nakutana nae unicef kila jumamosi ya kwanza ya mwezi kwenye mijadala iliyokuwa ikifanyika hapo unicef karibu na maktaba pale.anauwezo mzuri sana wa kujenga hoja.aliwahi kuwakilisha vijana kuonana na rais abdul wande,
Hujui unachikisema wewe ....ccm ipi inayojali demokrasia kwa kutupilia mbali maoni ya wananchi? wewe baki kufua chup za kinaana tuni mwanachama mtiffu wa ccm,,,na hii ndio demokrasia pana ya ccm sio ya kupga magoti na kutopingana mawazo ya chadema
ni mwanachama mtiffu wa ccm,,,na hii ndio demokrasia pana ya ccm sio ya kupga magoti na kutopingana mawazo ya chadema
CCM wananguvu ya Rasilimali watu,na pesa pia najua kuwapinga na Hoja yao ya Serikali 2 ni sawa na kujaribu kuzuia mvua kwa gazeti. Kosa la UKAWA Ni kukimbia mapambano wakati vita imeanza!