kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,398
KaCAG kaccm!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipata 0 kama Mbowe ?Alipata 0 form six kwenye shule moja pale katikati ya jiji...sijui kama aliendelea baada ya hapo
Kwenye Bonge la katiba alikuwa mtetezi wa rasimu ya Waryoba.Tupeni na mazuri yake basi...
ni bonge la CAG la lumumba!Tupeni na mazuri yake basi...
Endelea kugoogle
Alipata Div 0 PGM Benjamin Mkapa school. Uzi huo wameufunga ungelipata details zake huko.Jamani naombeni mnisaidie napenda kumfahamu historia ya polepole yaani .
Amezaliwa wapi, kabila gani,chimbuko lake ni mtu wa wapi, amesoma chuo gani elimu yake pia kiujumlaa.
Nimejaribu ku google nimeshidwa kupata majibu
I was informed kuwa kipindi mile hoja nyingi za wazee hasa Warioba alikuwa anazipitisha kwa POLEPOLE ku pata support ya vijana kitu amabcho kilifanikiwa sana. Nilihudhuria mihadhara yao kadhaa vijana walikuwa wengi kuliko rika lolote.Mi Navyojua O Level alisoma Azania akachaguliwa kujiunga A level Benjamin Mkapa pale....
Hapo A level akipiga PGM alama hazikutosha akatunukiwa daraja sifuri.
Sasa baada ya hapo sijui kama alifuata nyayo za Bashite au aliishia hapohapo...
Ila mpaka kuupata u-CAG wa CCM sijajua alipitia njia gani japo najua rasimu ya katiba ya Warioba aliutumia vizuri mgongo wa mzee Warioba kujiibua kama ambavyo Bashite alivopitia kwa marehemu mzee Samwel Siita na baadae Rizimoko Kikwete...
exactly kama MBOWEAlipata 0 kama Mbowe ?
Hahahahaaaa.Humphrey Polepole ni zaidi ya wabunge wote wa CHADEMA ... ukimtoa Tundu Lissu.
Napendekeza ufanyiwe brain scan kama unaona Polepole ni hazina ya TaifaPolepole ni hazina inayopaswa kulindwa , anapambana kisawasawa na upotoshaji unafanywa na wapuuzi wasiyoitakia mema nchi hii. Bila shaka ameshajenga uadui kati yake na majambazi hawa. Mungu amlinde daima.
Nipo, Polepole wa juzi sio wa leo.Upo mkuu?
Soma kwanza hii post niliiandika lini ndio uje uandike tena hiki ulichokiandika. Muwe mnasoma na tarehe kwanza. Wewe ulitegemea Polepole wa Tume ya Warioba atakuja kuwa hivi alivyo?Napendekeza ufanyiwe brain scan kama unaona Polepole ni hazina ya Taifa
Mi nilijuaga ni bonge la mwanasheriaAlipata Div 0 PGM Benjamin Mkapa school. Uzi huo wameufunga ungelipata details zake huko.
Pia ni zaidi ya familia yako na kizazi chako choteHumphrey Polepole ni zaidi ya wabunge wote wa CHADEMA ... ukimtoa Tundu Lissu.