Humphrey Polepole ni nani?

Humphrey Polepole ni nani?

I
Nachoelewa sekondari alisoma Azania akaondoka na Division O mwaka 1999 o-level hiyo.
Si kwel mkuu,polepole tulimaliza nae o'level Azania mwaka 2000 na hakupata ziro,Kama alizungusha labda A'level Benjamin Mkapa
 
Si kwel mkuu,polepole tulimaliza nae o'level Azania mwaka 2000 na hakupata ziro,Kama alizungusha labda A'level Benjamin Mkapa
Mimi hilo nililoandika hapo kabla ndilo ninalolielewa. Sasa wewe umuulize akueleze ilikuwaje afanye mtihani wa o-level mara mbili, alitumia mbinu gani ili wanafunzi wa sasa wanaondoka na Division 0 na wao watumie. . Ni kweli nilichoandika.
 
I
Nachoelewa sekondari alisoma Azania akaondoka na Division O mwaka 1999 o-level hiyo.
Harufu anavyojifanya kujua Mambo kumbe ni zero brain,Magufuli yeye matokeo yake yakoje wadau mbona anapenda sana kufanya kazi na hawa watu,je ni wenzake?
 
Mimi hilo nililoandika hapo kabla ndilo ninalolielewa. Sasa wewe umuulize akueleze ilikuwaje afanye mtihani wa o-level mara mbili, alitumia mbinu gani ili wanafunzi wa sasa wanaondoka na Division 0 na wao watumie. . Ni kweli nilichoandika.
Ni mwaka 2000 ndo alimaliza o'level Azania,lebel nyeusi
 
Ni mwaka 2000 ndo alimaliza o'level Azania,lebel nyeusi
Hayo mambo ya label achana nayo. Kwani hata mimi naweza kukwambia ni label ya kijani, au sio? Kama una contact zake mtafute ili akueleze ,ilikuwaje akapata favour ya kufanya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne, tena katika shule ile ile aliyopatia division zero kwa mara ya pili.
 
Polepole ni hazina inayopaswa kulindwa , anapambana kisawasawa na upotoshaji unafanywa na wapuuzi wasiyoitakia mema nchi hii.

Bila shaka ameshajenga uadui kati yake na majambazi hawa. Mungu amlinde daima.
Hadi Leo unayaamini hayaaa?
 
Mjadala wa KAtiba uko Bungeni, Maamuzi yote yako Bungeni. UKAWA wako sahihi kabisa na hasa kwa kuzingatia sheria ilivyo. Hawataendelea na kikao maana hawana tumaini la kutoa maamuzi bila UKAWA. Huwezi kuendelea kujadili na kundi la watu ambao hawako tayari kusikiliza. Wamejipanga kupinga makofi na vigelegele bila sababu.

Wanazomeya bila sababu. Wanaingiza hayo ya ukabila kama yalivyotanjwa na Lipumba. Mbona UKAWA haijataja wasomali walioko CCM?
Hahahaha, hivi wewe lijamaa kumbe umekutwa na nini ? 😂😂😂😂😂😂
 
Yap! ni hivi, Nchi ikiwa ndogo pia kuna faida yake. Mtaji mkubwa kabisa wa UKAWA ni Z'bar, to be precise, Pemba! Z'bar ufahamu na misimamo ya kisiasa iko juu kuliko Tanganyika. Kwa UKAWA huo ni mtaji mkubwa sana na bahati nzuri watu kama Lukuvi wameongeza donda huko Z'bar. Fahamu bila 2/3 ya Z'bar katiba haipiti.

Sasa utawadhalau UKAWA kwa lipi? Wameshapata turufu. Waache CCM wapige vigelegele, wachungaji na Mashekh uchwala waunge mkono, wamo na ma-profesa hovyo pia wanaunga mkono na kujidai eti wana busara ya ku-analyse takwimu za Warioba. Lakini mwisho wa yote ni 2/3!

Hata hivyo hiyo mijadala ya Bunge bila UKAWA ina faida gani maana 2/3 inayotakiwa kupitisha vifungu haipo bungeni tena! Halafu mtu unakuja hapa na kuanza kuwadhalau UKAWA. Ni mengi yanayopita bila wannchi wa remote kufahamu.

Bunge gani hilo ni cartoon ya TOM & JERRY!
Hawawezi maana hiyo 2/3 iko kwenye sheria. Labda sasa wasubiri Bunge la kawaida litakapokaa. Kanuni wanaweza kupindisha na je, kura ya maoni itakuwaje? Au nayo watabadili tena? Kumbuka sheria hiyo ilivyowasumbua upande wa Z'bar wakati wanakwenda kuitetea, hadi ikachanwa. Kwa ujumla ni busara ndogo ya wajumbe iliyosababishwa na Rais mwenyewe. Aliteua wajumbe ili wakashindwe kujadili.

Hawa wanaodhani akili imejaa kumbe ni wajinga tu, Unawezaje kupanga mchezo na sheria zake, ukasema mfano, tuanze riadha, halafu ukizidiwa unasema tubadili sheria ili mchezo uwe ni rugby. Watu waanze kukabana koo na miguu!
You are on the wrong side of history.
 
that one is a genious,siku zote anajua anachokifanya na angekua mtu wa kupenda sifa watu wangeshamskia kwenye siasa bt he keeps a low profile ila ukipata nafasi ya kufanya nae kazi utajua kwamba ni kichwa tofauti sana..
Aaah hii komenti ilinichekesha sana
 
Humphrey Polepole, mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba amekuwa mstari wa mbele kutoa maelezo, ufafanuzi na kukabiliana kwa hoja na Wapinzani wa rasimu katiba iliyowasilishwa.

Kipekee nampongeza sana kwani tume ilikuwa na wajumbe wengi lakini wengine wako kimya ila Bwana Polepole amekabiliana nao na anaendelea kukabiliana nao dhidi ya upotoshaji, kwangu mimi Bw Polepole anastahili tunzo ya heshima.

Nawakaribisha wadau kwa maoni.
Nadhani sasa ndio umemjua vema .

Njaa haina Baunsa
 
Huyu mtu binafsi nimemwelewa sana japo yeye mwenyewe aliwahi kutamka wazi wazi yeye ni mwanachama wa CCM haswa lakini nimemuona amesimama kwenye ukweli zaidi kuliko kwenye siasa ,ameitumia elimu yake ipasavyo na baadhi yetu wananchi tumemwelewa
Swali ni Je Kikwete alimuokota wapi mtu huyu ?
 
Polepole ni hazina inayopaswa kulindwa , anapambana kisawasawa na upotoshaji unafanywa na wapuuzi wasiyoitakia mema nchi hii.

Bila shaka ameshajenga uadui kati yake na majambazi hawa. Mungu amlinde daima.
Hali ipoje sasa
 
Back
Top Bottom