Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Nilivyosikia alimaliza A-level Benjamen Mkapa sekondari DSM, akawa anauza duka la vyombo la shangazi yake badaye akaenda Chuo cha Maendeleo ya Jamii TENGERU-Arusha akasoma Cheti mwaka moja, akaendelea diploma miaka miwili na akamalizia Advance diploma ya ma Maendeleo ya Jamii hapo hapo Tengeru.Nataka kujua Curriculum vitae (CV) ya huyu anayejiita Karibu wa Itikadi wa CCM ambaye kutwa kucha anatukana watu kutwa kucha. CV ainaweza kusaidia angalau kukadiria uwezo wa IQ yake.
Alisota sana mtaani baadae nikamsikia kwenye NGO moja hapo DSM, miaka kadhaa nikamsikia Tume ya katiba akiwalikilisha Asasi za kiraia. Hapo ndio mwanzo wa maisha yake ilipochomwa.
Kuhusu siasa ndio kaanza juzi 2015 alipoibuka baada ya kumtukana sana mzee Mamvi. Alipewa Ukuu wa Wilaya Tarime na Ubungo na kisha baadaye ndiyo kapewa nafasi aliyo nayo sasa.