mteule senior
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 293
- 196
Kumbe alimaliza azania mwaka gan mzeeKile kichwa ni noma tulio soma Azania sec tunamfahamu vizuri sana!
selfish
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe alimaliza azania mwaka gan mzeeKile kichwa ni noma tulio soma Azania sec tunamfahamu vizuri sana!
selfish
Napitia huu UziHumphrey Polepole, mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba amekuwa mstari wa mbele kutoa maelezo, ufafanuzi na kukabiliana kwa hoja na Wapinzani wa rasimu katiba iliyowasilishwa.
Kipekee nampongeza sana kwani tume ilikuwa na wajumbe wengi lakini wengine wako kimya ila Bwana Polepole amekabiliana nao na anaendelea kukabiliana nao dhidi ya upotoshaji, kwangu mimi Bw Polepole anastahili tunzo ya heshima.
Nawakaribisha wadau kwa maoni.