Humphrey Polepole, Nyoosha msitari Taifa likuenzi milele au piga blahblah Taifa likudharau

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
17,047
Reaction score
63,206
Ndugu Humphrey Polepole nakusalimu. Lakini pia nataka nikueleze mambo yafuatayo.

1. Timing yako kulifanya hili jambo ni nzuri sana, umechagua muda muafaka

Kipindi hiki bi kilembwe anapambania hali yake, japo ana majeshi na mavyombo yote ya kumfanyia anachokitaka lakini hulka ya binadamu huwa ni kuwa na hofu na wasiwasi, kwa hiyo hata yeye hajiamini. Umechagua muda muafaka ambao wananchi wanammulika bi kilembwe na dunia nzima inammulika kwa hiyo hii imepunguza risk kwako lakini pia muda huu uliochagua kummulika mchawi ndiyo muda muafaka zaidi maana hizi ndo nyakati za wanga wakiongozwa na mwanga mkuu kwenda kuroga!. Pia nimekuelewa sana ulipochagua muda huu kuwachapa wanga, maana umetumia ili kanuni ya Machiavelli kuwa "Mtandike mpinzani wako pale anapokuwa dhaifu". Sasa hivi mwanga mkuu yuko dhaifu mno kisiasa nchini, kimataifa na hata ndani ya chama, kwa hiyo timing ya kumnyoosha imekaa sawa. Sasa Supu ya mbwa hunywewa ingali ya moto, NOW IS THE TIME, USISHAWISHIWE AU KUSHAWISHIKA KUAHIRISHA KUJA FRONT!.

2. Ukiamua kuingia vitani ingia kamili gado, Tumia silaha zote, pigana vita kamili siyo nusunusu.

Najua, Wanga ndani ya mfumo na Chama watakuwa wanajaribu kukutafuta kukushauri kuwa kaa kimya, au potezea, au kana uamuzi wako.
Iko hivi, ukijichanganya kukana kwa kudai kuwa ulidukuliwa, usidhani watakusamehe, wanga huwa hawasamehi mtu. Kitendo cha kukana, kwanza utakuwa umewasafisha, pili kisasi chao kwako kiko palepale. Solution iliyopo ni wewe kunyoosha maneno, nyoosha msitari, piga kwelikweli, tapika kwelikweli, pakaza kwelikweli, yaani igonge Babylon mpaka isambaratike. Jenerali Colin Powell alisema, Si vizuri kuingia ktk vita, lakini ukifanya uamuzi wa kuingia basi tumia silaha zako zote kumaliza biashara. Sasa ndugu Polepole maadamu umeamua kuvaa gloves za mapambano, piga mauppercut, maleft hook, majabs, macombination kama yote, usiache wahuni wakapumua, la sivyo wakikuotea lazima wakuzimishe wewe fasta.

3. Appeal kwa wananchi upate uungwaji mkono. Hii ndo nguzo muhimu zaidi.

Sasa hivi wananchi wanataka haki, hawataki utekaji, hawataki mahakama kutumiwa kama Kangaroo courts, hawataki maisha magumu yanayotokana na kodi na tozo zinazosababishwa na Bi Kilembwe kukopa kama hakuna kesho. Wananchi wanataka haki katika chaguzi. Sasa huu ni muda muafaka wa kunyoosha maelezo hayo nukta kwa nukta wananchi waelewe. Hii itasababisha wananchi wakuelewe zaidi, wakuunge mkono, na tuunganishe nguvu kuipigania bongo yenye haki zaidi na neema zaidi.

4. Wabongo wanakujua wewe zaidi sababu ya katiba mpya na si yale mavyeo ya CCM na serikali

Sasa rudi njia kuu, anza kuipigania katiba mpya, tena ile ya Warioba, Anza kuongea kuhusu bunge huru, mahakama huru, Uraisi wenye kuwajibika, si uraisi wa kufalme ambao Rais akiamua anaweza kuuza hata mkoa wa Arusha kwa mwarabu na asifanywe chochote na wananchi. Rudi njia kuu, Katiba mpya ndo first born wako, ndiyo mrithi wako, ndiyo baji ya heshima kwako mbele ya Watanzania. Anza kuzungumzia mazuri ya katiba ya warioba hasa katk angle za ueajibikaji na ueledi katika kuwapa watu kazi serikalini. Bila shaka utakuwa umeamsha upya moto wa uzalendo na watu kutaka mabadiliko chanya. Ndugu Poleploele katiba ya sasa inakuwa abused matokeo yake nchi imekuwa ka shsmba la bibi Kilembwe. Ananunua magoli ya Simba na Yanga wakati wananchi hawana maji ya kunywa safi na salama. Tunataka katiba ya kumwajibisha rais akileta ujinga, hatutaki katiba ya kulinda ujinga wake.

4. Ndugu Polepole, Zungumzia ishu za rasilimali zetu zinazogawiwa kama pipi
Kuna mikataba ya ajabu sana bibi Kilembwe kaingia, mikataba ya bandari na mikataba ya kuuza misitu kwa waarabu, mikataba ya uwanja wa KIA kwa mwarabu, Alivyojaribu kuwaumiza wamasai ila akafeli kutokana na wamasai kusimama Imara. Elezea deni la Taifa linalofika Trilion 97. Kiufupi weka hoja na risiti mezani. Wananchi watakuelewa sana

5. Ndugu Polepole, Ukiamua kumpiga Nyani usimwangalie usoni.

Hakuna kuona huruma, Deusdedith Soka, Mdude Nyagali, mzee Ally Kibao hawakuonewa huruma. Kama umeamua kuwagonga wanga kwa ulimi wa moto watandike kisawasawa. Ili kizazi kijacho.kije kiseme kuwa, alikuwepo kijana asiyependa dulma na uonevu, alivyoona wachawi wamekaa mezani kula nyama za wananchi alibidua Sinia na kuwakemea kwa ulimi wa moto. Nyoosha mambo, umma uko nyuma yako. Usije ukafanya mistake ya kusitasita kunyoosha mambo, ukisita tu imekula kwako, ila ukinyoosha utavishwa taji daima!
 
Kipindi hiki bi kilembwe anapambania hali yake, japo ana majeshi na mavyombo yote ya kumfanyia anachokitaka lakini hulka ya binadamu huwa ni kuwa na hofu na wasiwasi, kwa hiyo hata yeye hajiamini. Umechagua muda muafaka ambao wananchi wanammulika bi kilembwe na dunia nzima inammulika kwa hiyo hii imepunguza risk kwako lakini pia mwanga wa kummulika mchawi ndiyo muda muafaka zaidi maana hizi ndo nyakati za wanga wakiongozwa na mwanga mkuu kwenda kuroga!

2. Ukiamua kuingia vitani ingia kamili gado, Tumia silaha zote, pigana vita kamili siyo nusunusu.

Najua, Wanga ndani ya mfumo na Chama watakuwa wanajaribu kukutafuta kukushauri kuwa kaa kimya, au potezea, au kana uamuzi wako.
Iko hivi, ukijichanganya kukana kwa kudai kuwa ulidukuliwa, usidhani watakusamehe, wanga huwa hawasamehi mtu. Kitendo cha kukana, kwanza utakuwa umewasafisha, pili kisasi chao kwako kiko palepale. Solution iliyopo ni wewe kunyoosha maneno, nyoosha msitari, piga kwelikweli, tapika kwelikweli, pakaza kwelikweli, yaani igonge Babylon mpaka isambaratike. Jenerali Colin Powell alisema, Si vizuri kuingia ktk vita, lakini ukifanya uamuzi wa kuingia basi tumia silaha zako zote kumaliza biashara. Sasa ndugu Polepole maadamu umeamua kuvaa gloves za mapambano, piga mauppercut, maleft hook, majabs, macombination kama yote, usiache wahuni wakapumua, la sivyo wakikuotea lazima wakuzimishe wewe fasta.

3. Appeal kwa wananchi upate uungwaji mkono. Hii ndo nguzo muhimu zaidi.

Sasa hivi wananchi wanataka haki, hawataki utekaji, hawataki mahakama kutumiwa kama Kangaroo courts, hawataki maisha magumu yanayotokana na kodi na tozo zinazosababishwa na Bi Kilembwe kukopa kama hakuna kesho. Wananchi wanataka haki katika chaguzi. Sasa huu ni muda muafaka wa kunyoosha maelezo hayo nukta kwa nukta wananchi waelewe. Hii itasababisha wananchi wakuelewe zaidi, wakuunge mkono, na tuunganishe nguvu kuipigania bongo yenye haki zaidi na neema zaidi.

4. Wabongo wanakujua wewe zaidi sababu ya katiba mpya na si yale mavyeo ya CCM na serikali

Sasa rudi njia kuu, anza kuipigania katiba mpya, tena ile ya Warioba, Anza kuongea kuhusu bunge huru, mahakama huru, Uraisi wenye kuwajibika, si uraisi wa kufalme ambao Rais akiamua anaweza kuuza hata mkoa wa Arusha kwa mwarabu na asifanywe chochote na mwarabu. Rudi njia kuu, Katiba mpya ndo first born wako, ndiyo mrithi wako, ndiyo baji ya heshima kwako mbele ya Watanzania. Anza kuzungumzia mazuri ya katiba ya warioba hasa katk angle za ueajibikaji na ueledi katika kuwapa watu kazi serikalini. Bila shaka utakuwa umeamsha upya moto wa uzalendo na watu kutaka mabadiliko chanya. Ndugu Poleploele katiba ya sasa inakuwa abused matokeo yake nchi imekuwa ka shsmba la bibi Kilembwe. Ananunua magoli ya Simba na Yanga wakati wananchi hawana maji ya kunywa safi na salama. Tunataka katiba ya kumwajibisha rais akileta ujinga, hatutaki katiba ya kulinda ujinga wake.

4. Ndugu Polepole, Zungumzia ishu za rasilimali zetu zinazogawiwa kama pipi
Kuna mikataba ya ajabu sana bibi Kilembwe kaingia, mikataba ya bandari na mikataba ya kuuza misitu kwa waarabu, mikataba ya uwanja wa KIA kwa mwarabu, Alivyojaribu kuwaumiza wamasai ila akafeli kutokana na wamasai kusimama Imara. Elezea deni la Taifa linalofika Trilion 97. Kiufupi weka hoja na risiti mezani. Wananchi watakuelewa sana

5. Ndugu Polepole, Ukiamua kumpiga Nyani usimwangalie usoni.

Hakuna kuona huruma, Deusdedith Soka, Mdude Nyagali, mzee Ally Kibao hakuonewa huruma. Kama umeamua kuwagonga wanga kwa ulimi wa moto watandike kisawasawa. Ili kizazi kijacho.kije kiseme kuwa, alikuwepo kijana asiyependa dulma na uonevu, alivyoona wachawi wamekaa mezani kula nyama za wananchi alibidua Sinia na kuwakemea kwa ulimi wa moto. Nyoosha mambo, umma uko nyuma yako. Usije ukafanya mistake ya kusitasita kunyoosha mambo, ukisita tu imekula kwako, ila ukinyoosha utavishwa taji daima!
kumuenzi mnafiki ni nonsense gentleman 🐒
 
Anaongea saa ngapi nikae mkao? Maana Braza gwajix ni saa saba mchana!
 
Ndugu Humphrey Polepole nakusalimu. Lakini pia nataka nikueleze mambo yafuatayo.

. Sasa ndugu Polepole maadamu umeamua kuvaa gloves za mapambano, piga mauppercut, maleft hook, majabs, macombination kama yote, usiache wahuni wakapumua, la sivyo wakikuotea lazima wakuzimishe wewe fasta.

3. Appeal kwa wananchi upate uungwaji mkono. Hii ndo nguzo muhimu zaidi.

Sasa hivi wananchi wanataka haki, hawataki utekaji, hawataki mahakama kutumiwa kama Kangaroo courts, hawataki maisha magumu yanayotokana na kodi na tozo zinazosababishwa na Bi Kilembwe kukopa kama hakuna kesho. Wananchi wanataka haki katika chaguzi.
Mkuu imebidi nicheke tu kwa aina hii ya mapigo uliyopendekeza na tahadhari uliyompa.....maana akicheza vibaya watamzisha milele.
 
Ndugu Humphrey Polepole nakusalimu. Lakini pia nataka nikueleze mambo yafuatayo.

1. Timing yako kulifanya hili jambo ni nzuri sana, umechagua muda muafaka

Kipindi hiki bi kilembwe anapambania hali yake, japo ana majeshi na mavyombo yote ya kumfanyia anachokitaka lakini hulka ya binadamu huwa ni kuwa na hofu na wasiwasi, kwa hiyo hata yeye hajiamini. Umechagua muda muafaka ambao wananchi wanammulika bi kilembwe na dunia nzima inammulika kwa hiyo hii imepunguza risk kwako lakini pia muda huu uliochagua kummulika mchawi ndiyo muda muafaka zaidi maana hizi ndo nyakati za wanga wakiongozwa na mwanga mkuu kwenda kuroga!. Pia nimekuelewa sana ulipochagua muda huu kuwachapa wanga, maana umetumia ili kanuni ya Machiavelli kuwa "Mtandike mpinzani wako pale anapokuwa dhaifu". Sasa hivi mwanga mkuu yuko dhaifu mno kisiasa nchini, kimataifa na hata ndani ya chama, kwa hiyo timing ya kumnyoosha imekaa sawa. Sasa Supu ya mbwa hunywewa ingali ya moto, NOW IS THE TIME, USISHAWISHIWE AU KUSHAWISHIKA KUAHIRISHA KUJA FRONT!.

2. Ukiamua kuingia vitani ingia kamili gado, Tumia silaha zote, pigana vita kamili siyo nusunusu.

Najua, Wanga ndani ya mfumo na Chama watakuwa wanajaribu kukutafuta kukushauri kuwa kaa kimya, au potezea, au kana uamuzi wako.
Iko hivi, ukijichanganya kukana kwa kudai kuwa ulidukuliwa, usidhani watakusamehe, wanga huwa hawasamehi mtu. Kitendo cha kukana, kwanza utakuwa umewasafisha, pili kisasi chao kwako kiko palepale. Solution iliyopo ni wewe kunyoosha maneno, nyoosha msitari, piga kwelikweli, tapika kwelikweli, pakaza kwelikweli, yaani igonge Babylon mpaka isambaratike. Jenerali Colin Powell alisema, Si vizuri kuingia ktk vita, lakini ukifanya uamuzi wa kuingia basi tumia silaha zako zote kumaliza biashara. Sasa ndugu Polepole maadamu umeamua kuvaa gloves za mapambano, piga mauppercut, maleft hook, majabs, macombination kama yote, usiache wahuni wakapumua, la sivyo wakikuotea lazima wakuzimishe wewe fasta.

3. Appeal kwa wananchi upate uungwaji mkono. Hii ndo nguzo muhimu zaidi.

Sasa hivi wananchi wanataka haki, hawataki utekaji, hawataki mahakama kutumiwa kama Kangaroo courts, hawataki maisha magumu yanayotokana na kodi na tozo zinazosababishwa na Bi Kilembwe kukopa kama hakuna kesho. Wananchi wanataka haki katika chaguzi. Sasa huu ni muda muafaka wa kunyoosha maelezo hayo nukta kwa nukta wananchi waelewe. Hii itasababisha wananchi wakuelewe zaidi, wakuunge mkono, na tuunganishe nguvu kuipigania bongo yenye haki zaidi na neema zaidi.

4. Wabongo wanakujua wewe zaidi sababu ya katiba mpya na si yale mavyeo ya CCM na serikali

Sasa rudi njia kuu, anza kuipigania katiba mpya, tena ile ya Warioba, Anza kuongea kuhusu bunge huru, mahakama huru, Uraisi wenye kuwajibika, si uraisi wa kufalme ambao Rais akiamua anaweza kuuza hata mkoa wa Arusha kwa mwarabu na asifanywe chochote na wananchi. Rudi njia kuu, Katiba mpya ndo first born wako, ndiyo mrithi wako, ndiyo baji ya heshima kwako mbele ya Watanzania. Anza kuzungumzia mazuri ya katiba ya warioba hasa katk angle za ueajibikaji na ueledi katika kuwapa watu kazi serikalini. Bila shaka utakuwa umeamsha upya moto wa uzalendo na watu kutaka mabadiliko chanya. Ndugu Poleploele katiba ya sasa inakuwa abused matokeo yake nchi imekuwa ka shsmba la bibi Kilembwe. Ananunua magoli ya Simba na Yanga wakati wananchi hawana maji ya kunywa safi na salama. Tunataka katiba ya kumwajibisha rais akileta ujinga, hatutaki katiba ya kulinda ujinga wake.

4. Ndugu Polepole, Zungumzia ishu za rasilimali zetu zinazogawiwa kama pipi
Kuna mikataba ya ajabu sana bibi Kilembwe kaingia, mikataba ya bandari na mikataba ya kuuza misitu kwa waarabu, mikataba ya uwanja wa KIA kwa mwarabu, Alivyojaribu kuwaumiza wamasai ila akafeli kutokana na wamasai kusimama Imara. Elezea deni la Taifa linalofika Trilion 97. Kiufupi weka hoja na risiti mezani. Wananchi watakuelewa sana

5. Ndugu Polepole, Ukiamua kumpiga Nyani usimwangalie usoni.

Hakuna kuona huruma, Deusdedith Soka, Mdude Nyagali, mzee Ally Kibao hawakuonewa huruma. Kama umeamua kuwagonga wanga kwa ulimi wa moto watandike kisawasawa. Ili kizazi kijacho.kije kiseme kuwa, alikuwepo kijana asiyependa dulma na uonevu, alivyoona wachawi wamekaa mezani kula nyama za wananchi alibidua Sinia na kuwakemea kwa ulimi wa moto. Nyoosha mambo, umma uko nyuma yako. Usije ukafanya mistake ya kusitasita kunyoosha mambo, ukisita tu imekula kwako, ila ukinyoosha utavishwa taji daima!
Akiufuata ushauri wako atapata maujiko sana. You nailed down the points.
 
Miaka yote alikua wap mpaka dakika za jion
 
Ndugu Humphrey Polepole nakusalimu. Lakini pia nataka nikueleze mambo yafuatayo.

1. Timing yako kulifanya hili jambo ni nzuri sana, umechagua muda muafaka

2. Ukiamua kuingia vitani ingia kamili gado, Tumia silaha zote, pigana vita kamili siyo nusunusu.

3. Appeal kwa wananchi upate uungwaji mkono. Hii ndo nguzo muhimu zaidi.

4. Wabongo wanakujua wewe zaidi sababu ya katiba mpya na si yale mavyeo ya CCM na serikali

5. Ndugu Polepole, Ukiamua kumpiga Nyani usimwangalie usoni.

Kama umeamua kuwagonga wanga kwa ulimi wa moto watandike kisawasawa. Ili kizazi kijacho.kije kiseme kuwa, alikuwepo kijana asiyependa dulma na uonevu, alivyoona wachawi wamekaa mezani kula nyama za wananchi alibidua Sinia na kuwakemea kwa ulimi wa moto. Nyoosha mambo, umma uko nyuma yako. Usije ukafanya mistake ya kusitasita kunyoosha mambo, ukisita tu imekula kwako, ila ukinyoosha utavishwa taji daima!
Naunga mkono hoja, ushauri kama huu na mimi nimempa hapa Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?

HP anatakiwa asisimame mguu ndani mguu nje, ama asimame ndani mazima atulie, anyamaze, au ajitoe jumla, asimame nje pembeni ndipo apaze sauti kutetea haki
P
 
Unauliza Paulo siku zote alikuwa wapi asimfuate Yesu?

Wokovu hauna wakati maalumu, ukikujia umekuijia tu na huo ndo muda muafaka zaidi!
Paul hakua mfuas wa shetan sasa huyu polepole alikua upande wa pili akasalit akaenda upande ule kipind cha uchaguz anarud upande huu uchaguz ukiisha anarud kule kifup yupo kazin
 
Kasome biblia vizuri ili ujue kuwa kabla Paulo hajabadilika alikuwa mtu wa namna gani. Anyway tuyaache hayo turudi ktk mada ya Mapambano ya Polepole na wanga ndani ya mfumo na chama!
 
Ndugu Humphrey Polepole nakusalimu. Lakini pia nataka nikueleze mambo yafuatayo.

1. Timing yako kulifanya hili jambo ni nzuri sana, umechagua muda muafaka

Kipindi hiki bi kilembwe anapambania hali yake, japo ana majeshi na mavyombo yote ya kumfanyia anachokitaka lakini hulka ya binadamu huwa ni kuwa na hofu na wasiwasi, kwa hiyo hata yeye hajiamini. Umechagua muda muafaka ambao wananchi wanammulika bi kilembwe na dunia nzima inammulika kwa hiyo hii imepunguza risk kwako lakini pia muda huu uliochagua kummulika mchawi ndiyo muda muafaka zaidi maana hizi ndo nyakati za wanga wakiongozwa na mwanga mkuu kwenda kuroga!. Pia nimekuelewa sana ulipochagua muda huu kuwachapa wanga, maana umetumia ili kanuni ya Machiavelli kuwa "Mtandike mpinzani wako pale anapokuwa dhaifu". Sasa hivi mwanga mkuu yuko dhaifu mno kisiasa nchini, kimataifa na hata ndani ya chama, kwa hiyo timing ya kumnyoosha imekaa sawa. Sasa Supu ya mbwa hunywewa ingali ya moto, NOW IS THE TIME, USISHAWISHIWE AU KUSHAWISHIKA KUAHIRISHA KUJA FRONT!.

2. Ukiamua kuingia vitani ingia kamili gado, Tumia silaha zote, pigana vita kamili siyo nusunusu.

Najua, Wanga ndani ya mfumo na Chama watakuwa wanajaribu kukutafuta kukushauri kuwa kaa kimya, au potezea, au kana uamuzi wako.
Iko hivi, ukijichanganya kukana kwa kudai kuwa ulidukuliwa, usidhani watakusamehe, wanga huwa hawasamehi mtu. Kitendo cha kukana, kwanza utakuwa umewasafisha, pili kisasi chao kwako kiko palepale. Solution iliyopo ni wewe kunyoosha maneno, nyoosha msitari, piga kwelikweli, tapika kwelikweli, pakaza kwelikweli, yaani igonge Babylon mpaka isambaratike. Jenerali Colin Powell alisema, Si vizuri kuingia ktk vita, lakini ukifanya uamuzi wa kuingia basi tumia silaha zako zote kumaliza biashara. Sasa ndugu Polepole maadamu umeamua kuvaa gloves za mapambano, piga mauppercut, maleft hook, majabs, macombination kama yote, usiache wahuni wakapumua, la sivyo wakikuotea lazima wakuzimishe wewe fasta.

3. Appeal kwa wananchi upate uungwaji mkono. Hii ndo nguzo muhimu zaidi.

Sasa hivi wananchi wanataka haki, hawataki utekaji, hawataki mahakama kutumiwa kama Kangaroo courts, hawataki maisha magumu yanayotokana na kodi na tozo zinazosababishwa na Bi Kilembwe kukopa kama hakuna kesho. Wananchi wanataka haki katika chaguzi. Sasa huu ni muda muafaka wa kunyoosha maelezo hayo nukta kwa nukta wananchi waelewe. Hii itasababisha wananchi wakuelewe zaidi, wakuunge mkono, na tuunganishe nguvu kuipigania bongo yenye haki zaidi na neema zaidi.

4. Wabongo wanakujua wewe zaidi sababu ya katiba mpya na si yale mavyeo ya CCM na serikali

Sasa rudi njia kuu, anza kuipigania katiba mpya, tena ile ya Warioba, Anza kuongea kuhusu bunge huru, mahakama huru, Uraisi wenye kuwajibika, si uraisi wa kufalme ambao Rais akiamua anaweza kuuza hata mkoa wa Arusha kwa mwarabu na asifanywe chochote na wananchi. Rudi njia kuu, Katiba mpya ndo first born wako, ndiyo mrithi wako, ndiyo baji ya heshima kwako mbele ya Watanzania. Anza kuzungumzia mazuri ya katiba ya warioba hasa katk angle za ueajibikaji na ueledi katika kuwapa watu kazi serikalini. Bila shaka utakuwa umeamsha upya moto wa uzalendo na watu kutaka mabadiliko chanya. Ndugu Poleploele katiba ya sasa inakuwa abused matokeo yake nchi imekuwa ka shsmba la bibi Kilembwe. Ananunua magoli ya Simba na Yanga wakati wananchi hawana maji ya kunywa safi na salama. Tunataka katiba ya kumwajibisha rais akileta ujinga, hatutaki katiba ya kulinda ujinga wake.

4. Ndugu Polepole, Zungumzia ishu za rasilimali zetu zinazogawiwa kama pipi
Kuna mikataba ya ajabu sana bibi Kilembwe kaingia, mikataba ya bandari na mikataba ya kuuza misitu kwa waarabu, mikataba ya uwanja wa KIA kwa mwarabu, Alivyojaribu kuwaumiza wamasai ila akafeli kutokana na wamasai kusimama Imara. Elezea deni la Taifa linalofika Trilion 97. Kiufupi weka hoja na risiti mezani. Wananchi watakuelewa sana

5. Ndugu Polepole, Ukiamua kumpiga Nyani usimwangalie usoni.

Hakuna kuona huruma, Deusdedith Soka, Mdude Nyagali, mzee Ally Kibao hawakuonewa huruma. Kama umeamua kuwagonga wanga kwa ulimi wa moto watandike kisawasawa. Ili kizazi kijacho.kije kiseme kuwa, alikuwepo kijana asiyependa dulma na uonevu, alivyoona wachawi wamekaa mezani kula nyama za wananchi alibidua Sinia na kuwakemea kwa ulimi wa moto. Nyoosha mambo, umma uko nyuma yako. Usije ukafanya mistake ya kusitasita kunyoosha mambo, ukisita tu imekula kwako, ila ukinyoosha utavishwa taji daima!
atakuwa kesharekodi kaweka mfukoni kesho anarushia tu, wakifunga mitandao kesho keshokutwa au wakati wowote tutaikuta.
 
Siti ya mbele popcon na pepsi bariiidi
 
Back
Top Bottom