Humphrey Polepole, Nyoosha msitari Taifa likuenzi milele au piga blahblah Taifa likudharau

Uzuri mchoro ushakamilika naona fahari juu ya yajayo, the time is now.
 
Hivi ni Polepole huyu huyu tunayemjua au mwingine?..
Aliyempitisha katambi kwa kura 12 na kuwaacha ma"giant" kule shy...
Kama ni huyu Hana huo uhalali...huyu ni tapeli wa kisiasa..
 
Hivi ni Polepole huyu huyu tunayemjua au mwingine?..
Aliyempitisha katambi kwa kura 12 na kuwaacha ma"giant" kule shy...
Kama ni huyu Hana huo uhalali...huyu ni tapeli wa kisiasa..
Tofali linalokataliwa na wajenzi linaweza kuwa nguzu kwenye ujenzi wa nyumba na taifa
 
Ishu ya Polepole itapita kama zengine tu. Alitisha Kambona. AkajabMaalim Seif. Akarudi kwa Muumba akiamini alikuwa Rais wa Zanzibar ambaye HAJAWAHI kuwa! Akaingia Ndugu Mrema Mzee wa Kiraracha akapita. Akafuatia Mzee Lowassa. Watu wakasema ule mpasuko wa CCM uliosemwa na Mwl. Nyerere umefika! Hola!

Sasa hivi naona mnataka na biti za Komredi Polepole na Askofu Gwajima! Ahahahahaha! Kwamba shoka limeshindwa kukata mbuyu, Sasa mnataka kutumia wembe! Ahahahahaha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…