mukaruka mzee
JF-Expert Member
- Jan 22, 2020
- 970
- 482
Hawezi kuzielezea kwani waliopaswa kuzidai kesha watia MKWARA wamekimbia nchi, yaani akina Godbless, labda waibuke wale akina dada waliokuwa wabunge wa Viti Maalum waseme na kudai vinginevyo wameliwa!Kweli, Sasa Mbowe nae aeleze zile 8.9 billion mishahara ya wabunge alitumiaje.
Hivi ni kweli CCM ni Majizi?SISI, Tanzania hatukupewa hiyo hela kwa sababu tulikataa masharti ya LOCKDOWN. Waliokubali hayo masharti ndiyo walipewa na kama una yafuatilia hayo mahela ya CORONA, nadhani umesikia ule mtiti wake kwa ndugu zetu hapo juu. Msilishwe maneno tu na kuanza kusema msiyoyajua humu JF.
Siyo kweli CCM siyo majizi. Majizi wanajulikana ila kwa uoga wa wale Wabunge wa CHADEMA waliodhulumiwa ile mihela na MWENYEKIGODA wao, basi anapeta tu na kuanza kufanya mkakati wa KIELEKITRONIKI kuanza wizi mpya!Hivi ni kweli CCM ni Majizi?
Sikiliza kamati ilichosema Jana usikurupuke. Wenzio wamechukua we endelea kukenua.SISI, Tanzania hatukupewa hiyo hela kwa sababu tulikataa masharti ya LOCKDOWN. Waliokubali hayo masharti ndiyo walipewa na kama unayafuatilia hayo mahela ya CORONA, nadhani umesikia ule mtiti wake kwa ndugu zetu hapo juu. Msilishwe maneno tu na kuanza kusema msiyoyajua humu JF.
Safari hii hawa WAHUNI wataendesha serekali yao kupitia vitambulisho vya wamachinga, walalahoi mkae chonjo.EU itakusaidia nini weye!? Jana walikuwa wanazungumzia mambo yao ya mapesa ya COVID -19 na nyie kwa kukubali UONGO wa Lissu na Bob mnasubiri ajenda ya Tanzania! MMELIWA! Ajenda kuu kwa sasa EU ni COVID -19, kura ya VETO ya wale wanachama wake wawili juu ya hizo pesa za COVID - 19, stimulus package ya wafanyabiashara wao na BREXIT PERIOD. Hayo mengine ni ajenda za Lissu na Bob.
Maneno ya MFA MAJI kama ya Lissu na Amsterdam wake. Watasema UONGO mpaka lini watu hawa? Na watu na akili zao TIMAMU nao wanaingia kwenye mtego huo. Basi tungoje tuone. Wala msitukane bali leteni hoja tu.Safari hii hawa WAHUNI wataendesha serekali yao kupitia vitambulisho vya wamachinga, walalahoi mkae chonjo.
Wewe unacho kitambulisho cha wamachinga tayari? Safari hii imetajwa vitakuwa na picha zenu kabisa.Maneno
Maneno ya MFA MAJI kama ya Lissu na Amsterdam wake. Watasema UONGO mpaka lini watu hawa? Na watu na akili zao TIMAMU nao wanaingia kwenye mtego huo. Basi tungoje tuone. Wala msitukane bali leteni hoja tu.
Kamati gani Mama Mkubwa!? Au na mimi nikwambie, sikiza alichosema Balozi wetu huko Belgium na EU na walichosema Waswideni! Na wewe ENDELEA KUSHANGAA NA KUKENUA!Sikiliza kamati ilichosema Jana usikurupuke. Wenzio wamechukua we endelea kukenua.
Kama Balozi umemsikia basi hata kamati umeisikia ndio kukenua kwenyewe huko.Kamati gani
Kamati gani Mama Mkubwa!? Au na mimi nikwambie, sikiza alichosema Balozi wetu huko Belgium na EU na walichosema Waswideni! Na wewe ENDELEA KUSHANGAA NA KUKENUA!
Watuheshimu kama taifa huru linalokandamiza watu wake!
Jana Sirro, leo Humphrey Polepole, kesho Hadija Kopa, mnaweweseka vibaya sana