Tanzania haina corona, sijui hizo hela wamefanyia nini.Bro Polepole tumesikia eti zile "USD Millioni 27" mlizopewa na EU (Umoja Wa Ulaya) za kupambana na Covid-19 mmenunulia zile Land Cruiser VX "61" za kijani mlizotumia kwenye kampeni?
Chenchi iliobakia mkanunulia risasi na mabomu mliotumia Zanzibar & Pemba na Mara???
Halafu huku JF wanasema wewe ukizeeka eti utakua mchawi/mwanga.
Tundu kakimbia. Angekuwa hapa tungemsikilizaJana Sirro, leo Humphrey Polepole, kesho Hadija Kopa, mnaweweseka vibaya sana
Pesa hazijawahi kosa kazi😁😁😁Tz haina corona, sijui hizo hela wamefanyia nn
Kweli aisee, ila kama haijafanyia kazi husika means wameipigaPesa hazijawahi kosa kazi[emoji16][emoji16][emoji16]
Kupiga ndio nini mkuu?Kweli aisee, ila kama haijafanyia kazi husika means wameipiga
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Chadema ndio kabisa yale "matamko" yao kwishney....tunachapa kazi, naendelea hayana Chama!Siku hizi these press conferences zimepoteza maana kabisa. Yaani sasa hivi Polepole anaweza kuamka asubuhi na kuita waandishi ili tu kujibu tuhuma iliyopostiwa Twitter na watu aina ya Amsterdam
Itakua zimeongeza vitendea kazi kwenye zahanati zetu
Labda zitakuwa bado zimehifadhiwa, maana huku hospitalin hatuzioni.Itakua zimeongeza vitendea kazi kwenye zahanati zetu
Wewe uko wapi mkuu?Labda zitakuwa bado zimehifadhiwa, maana huku hospitalin hatuzioni.
Yale mapipa ya "maji tiririka" kwa kila shule, mtaa, Kijiji, vituo vya mabasi, nk pia vituo vya kupokea wagonjwa vilivyoandaliwa nchi nzima ambapo watumishi wa afya maaskari na madreva mf. hostel za JPM pale UDSM umadhani zilikiwa zinaendeshwa kwa pesa ipi? Pesa ya EU ilitumika hapo na vielelezo vipo tunawatumia. Common sense: sijawahi kuona mtu ameshindwa konyesha hesabu ya matumizi, hesabu ya mapato ndiyo huwa ngumu Sana!!
!
Hela Ya Corona Iko Wapi?
Ruvuma, kijiji cha Nambecha, wilaya ya Namtumbo.Wewe uko wapi mkuu?
Yale mapipa ya "maji tiririka" kwa kila shule, mtaa, Kijiji, vituo vya mabasi, nk pia vituo vya kupokea wagonjwa vilivyoandaliwa nchi nzima ambapo watumishi wa afya maaskari na madreva mf. hostel za JPM pale UDSM umadhani zilikiwa zinaendeshwa kwa pesa ipi? Pesa ya EU ilitumika hapo na vielelezo vipo tunawatumia. Common sense: sijawahi kuona mtu ameshindwa konyesha hesabu ya matumizi, hesabu ya mapato ndiyo huwa ngumu Sana!
Hizi hela zimetoka juzi tu hapo, labda ,zipo njiani. Hivi vilivyopo vilikuwepoPenyeapo kumbe uko namtumbo. Mbona vituo bye afya vipi katani na wilayani?
Na ukisogeasogea pale Hanga wapo vizuri pia
Hivi kwani tuliwaomba??Hizi hela zimetoka juzi tu hapo, labda ,zipo njiani. Hivi vilivyopo vilikuwepo
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app