Humphrey Polepole: Tunathamini marafiki zetu wote kama Taifa la Tanzania, tunawaheshimu na kuwapenda. Tunatarajia watuheshimu kama Taifa Huru

Taifa huru lipi? Hakuna uhuru wa habari na wa kisiasa iweje aseme Tanzania ni Nchi huru?
 
Kwani hawakumsikia rais aliposema yeye hataki mikopo ya corona?
Hao nao wanajikutaga wana akili ila safari hii wamekutana na mwamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tofautisha mkopo na msaada. Mkopo unaufanyia utakalo, ila msaada unafata masharti yake.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kweli, Sasa Mbowe nae aeleze zile 8.9 billion mishahara ya wabunge alitumiaje.
Anza na trilion 1.5 ilyotafunwa na CCM kienyeji mpaka wakamtoa CAG kafara kwa njia haramu za kishetani na pia umuulize zilipo zile bilion 251 wizara ya ujenzi zilizolipwa makandarasi hewa
 
Tanzania haina corona, sijui hizo hela wamefanyia nini.
Naogopa kutumia Lugha ya Matusi.. ila ningekupa tusi moja zito..

Nyinyi wakati wa COVID-19 mlisema wa Tz watakufa kama nzi.. mkasema watu bado wanakufa.. mkasema COVID-19 bado ipo.. ila wagonjwa hawatangazwi..

Sahiv.. kwa UNAFKI wenu mnabadirika.. mnasema Covid-19 haipo.. Tuwaeleweje?

Punguzeni ushabiki wa kipumbavu
 
Tofautisha mkopo na msaada. Mkopo unaufanyia utakalo, ila msaada unafata masharti yake.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Msaada wenye masharti.
Sasa wanatulazimisha tuwe na CORONA😂😂😂au ndio wamechukia sababu hatuna CORONA 😁😁😁
Magufuli amewavuruga hawana hamu
 
Really mmenunua Sanitizer!!
 

John Pombe Magufuli kawaaibisha sana
Sasa Hivi wanahofia marais wengine wakifuata nyayo zake afrika haitokua shamba lao tena
 
Upumbavu ni kupiga pesa za corona kienyeji kwa njia haramu za kishetani siyo vinginevyo
 
Hivi huyu sura kavu na mbaya Polepole si afe tu tupumzishwe na huu upuuzi anaongea kila siku!
 

Wewe ndio mpumbavu ambaye unatumia mihemko katika kuchangia mada.

Kwanza unaposema "nyinyi mlisema", hao nyinyi ni mimi na nani?

Anyway, tuliache ilo.

Masharti ya upokeaji wa zile hela, ni kwamba statistics za ugonjwa na wagonjwa viwekwe wazi, kwavile corona haipo tz, na data hazijawekwa, hela zimefanyia nn?

Alaf mkuu naomba usini quote tena kama unareply kwa jazba na mihemko. Angalia niliokuwa nawaquote au waliokuwa wananiquote kabla yako jinsi tulivyokuwa tunachat vizuri.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Msaada wenye masharti.
Sasa wanatulazimisha tuwe na CORONA[emoji23][emoji23][emoji23]au ndio wamechukia sababu hatuna CORONA [emoji16][emoji16][emoji16]
Magufuli amewavuruga hawana hamu
Offer siku zote inaendana na vigezo na masharti [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada kwa wazungu huwaita wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu wizi ufisadi wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jike, Hakuna Nchi huru inayoiba pesa za misaada kienyeji kwa njia haramu kama Serikali ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…