Humphrey Polepole: Tunathamini marafiki zetu wote kama Taifa la Tanzania, tunawaheshimu na kuwapenda. Tunatarajia watuheshimu kama Taifa Huru

Upumbavu ni kupiga pesa za corona kienyeji kwa njia haramu za kishetani siyo vinginevyo
Sikia we K**a pesa zina matumizi mengi..

Hospital.. ujenz na ukarabati
Mishahara.. risk compensation
Maabara.. uboresha na ujenz wa maabara maalumu. Etc

Kama una kumbukumbu RAIS alikataa Barakoa za Msaada..

Unazan hizo zilizokuw zinatumika zilikuw zinatoka wapi? Kama sio kununua/kutengeneza.. ? Sanitizer mnakumbuka Bei yake?

Posho za madaktari??
Mmeona kenya wanavyolia madaktar wanakufa???
 
Kwani hawakumsikia rais aliposema yeye hataki mikopo ya corona?
Hao nao wanajikutaga wana akili ila safari hii wamekutana na mwamba😂😂😂😂
Mwamba upi? Mwamba ni kutumia Polisiccm kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji uovu mateso kwa wapinzani? Kula pesa za corona kienyeji kifisadi kwa njia haramu ni umwamba?
 
Upumbavu ni kupiga pesa za corona kienyeji kwa njia haramu za kishetani siyo vinginevyo

Watetezi wanu wa haki za binadamu na utawala bora wananuka damu, wamekuja kivingine ila wasifikiri tumesahau kama Tundu
Wakati ule walituua, wakatukata mikono,..... sasaivi wanataka tuuane kwa risasi, mabomu na kukutana shingo
Mungu ibariki Tanzania
 
Na maji tiririka.... Ile tulipofanya utafiti tukaigundua CORONA na malengo yao kwenye kuipa promo tukawaachia wahangaike wenyewe
Ndiyo mmeiba kudokoa pesa za corona? Huu wizi wa kinya kimya?
 
Wao wanadai haki za binadamu na pesa za corona zilizopigwa na CCM kienyeji kwa njia haramu za kishetani wala si zaidi ya hapo
 
Hawajahitaji bado. Wakihitaji toka serikalini watapata ila naona kwa sasa wanahitaji toka kwenu
Hawawezi kuzipata kwakuwa tulimuomba mungu akasikia maombi Corona ikaisha. Namba ni sifuri.
 
K ni wewe mwenyewe mbweha huna unachokijua zaidi ya kuazima Akili za polepole zako umejaza moshi wa Bangi mtupu, Huwezi kuchukua pesa za corona mkagawana kimya kimya kienyeji kwa njia haramu za kishetani kisha utengeneze matumizi Haramu ya kienyeji , Wewe ni mnufaika wa mgao wa pesa za corona ndiyo maana umejitoa fahamu zote kutetea wizi wenu
 
Hawawezi kuzipata kwakuwa tulimuomba mungu akasikia maombi Corona ikaisha. Namba ni sifuri.
Mungu hakuitibu corona moja kwa moja mungu alikaa kwenye tangawizi limau na nyungu kwani watanzania walitumia hivyo viungo kwa bidii kubwa na mungu kuvibariki pia,bila bidii ya nyungu tangawizi limau kwa wingi corona ingekuwa umeleta maafa Tanzania
 
CCM wanufaika wa mgao wa pesa za corona wapo busy kutetea wizi huo bila Aibu kote mitandaoni
 

Hayupo rafiki na mwizi, mkandamiza haki na uhuru wa wengine labda awe imbonerakure au quarter pin.
 
Unaweza kunipa Uthibitisho kuwa Tz hakuna Corona?

Pili.. mlikuwa wapi kuuliza hizo hela zimetumika wapi muda wote huo mje kuuliza kipindi hiki?

Tatu.. katika hayo masharti, kulikuwa na kipengele cha kurudisha pesa?

Nne.. ww kwa Akili zako ulizonazo kwa sasa ulitegemea hela uingiziwe ktk Account yako? Au zielekezwe ktk huduma za Afya?

Tano.. statistics una uhakika hazipo? Au zilikuwepo ila kwa sasa hazipo?
 
Ww kama una uhakika na unachoongea, si uite wana habari uwaeleze.. mbn unapiga kelele huku? Nyie ndio mnawatia majaribuni wakina Melo..
 
Bil 74 za mabeberu rudisheni... kumbe huwa mnawaomba kisiri afu mkija kwenye press mnawaponda kwamba hamuwezi kusaidiwa na watu wanaonariki ushoga.

Sasa wanataka mahesabu ya hela zao!!
 

Walau sasa unabehave kama mtu mzima, tunaweza jadiliana.


1. Mara ya mwisho walisema kuna wagonjwa chini ya 10 nchi nzima. Ambao pia wanaendelea vzr. Tokea hapo hakujawa na ripoti mpya, na pia tahadhari hakuna tena, hata uhamasishaji wa kujilinda haupo tena.


2. Hatukuwa tunajua kama kuna hela zilitolewa kwa ajili hiyo.


3. Sidhani kama kulikuwa na kipengele hicho, na hata wahusika hawajasema pesa zirudi, bali wanahoji zimetumika vipi.

4. Sikutegemea ziwekwe kwenye account yangu, bali zitumike kwa maslahi na maendeleo ya nchi.

5. Statistics zilikuwepo mwanzoni kabisa, na sasa hazipo kabisa. Either hazitolewi au hakuna case mpya.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…