Humphrey Polepole: Tunathamini marafiki zetu wote kama Taifa la Tanzania, tunawaheshimu na kuwapenda. Tunatarajia watuheshimu kama Taifa Huru

Mungu hakuitibu corona moja kwa moja mungu alikaa kwenye tangawizi limau na nyungu kwani watanzania walitumia hivyo viungo kwa bidii kubwa na mungu kuvibariki pia,bila bidii ya nyungu tangawizi limau kwa wingi corona ingekuwa umeleta maafa Tanzania
Mungu aliingia ndani ya Tangawizi?
 
Ndio kawaida ya polepole anaacha kujibu hoja za msingi anarukaruka.kwanza ajibu hoja haache kusema sisi nchi huru ,kwani wakati wanachukua ela za watu wakati hakuna homa hawakujua kama ni uwizi na udanganyifu .
 
Haki uinua Taifa. Tungetenda haki kwa aliyeshinda udiwani au ubunge yote haya yasingekuwepo. Naumia Sana ninapoona ccm yangu inabebwa na tume au polisi maana naamini siku ikiachwa tu isimamame yenyewe naamini tutadondoka.
 
Hapa kama tumetatua Tatizo limeisha TUENDELEE tu kutoa Hamasa wakati tushajua siri iliyo nyuma ya Covid-19?

Mbn ukimwi na magonjwa mengine hizo Statistics na uhamasishaji Unaendelea..? Ulijiuliza katika hili?
2. Hatukuwa tunajua kama kuna hela zilitolewa kwa ajili hiyo.
Hatukujua? Wewe na NANI?

3. Sidhani kama kulikuwa na kipengele hicho, na hata wahusika hawajasema pesa zirudi, bali wanahoji zimetumika vipi.
WAHUSIKA wenyew ni wangapi? Kulikuwa na AZIMIO? wabunge watano ndio tayari usha confirm hoja zao?

4. Sikutegemea ziwekwe kwenye account yangu, bali zitumike kwa maslahi na maendeleo ya nchi.
Sasa.. umeona tatizo lako lilipo? Tuna miradi mingapi inaendelea kwa Sasa? Kwanin unalaumu hela Imeliwa?

5. Statistics zilikuwepo mwanzoni kabisa, na sasa hazipo kabisa. Either hazitolewi au hakuna case mpya.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Huyu mhutu anawaza tumbo lake tu
 
Ukiuza toa risiti, ukinunua dai risiti... EU wanahitaji risiti tu sio hizi porojo!
 
Hapa kama tumetatua Tatizo limeisha TUENDELEE tu kutoa Hamasa wakati tushajua siri iliyo nyuma ya Covid-19?

Kama tatizo limetatuliwa,maana yake kwasasa Tz hakuna corona. Sasa inakuwaje mwanzo ulinishambulia niliposema hivyo?

Hatukujua? Wewe na NANI?

Mwanzo kabisa uliniuliza "mlikuwa wapi kuhoji mpaka mnahoji sasa?" Labda nikuulize ww,ulikuwa unamaanisha mimi na nani.

WAHUSIKA wenyew ni wangapi? Kulikuwa na AZIMIO? wabunge watano ndio tayari usha confirm hoja zao?

Wahusika ni EU,na hao wabunge ni moja kati ya member. Hata hivyo sidhani katika kujadili jambo lolote,basi wabunge wote huweza kuongea ndani ya siku moja. Hata hapa Tz unaona mijadala yao.

Sasa.. umeona tatizo lako lilipo? Tuna miradi mingapi inaendelea kwa Sasa? Kwanin unalaumu hela Imeliwa?

Kinachosababisha mashaka ni kwamba kabla ya hii taarifa hatukuwahi kuambiwa kama tumepokea msaada wa kiwango hicho kuhusu corona. Lakini pia hela zilivyotoka,zimetoka na mchanganuo mzima wa matumizi ya ile hela.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Chakubanga Polepole si uwaambie tu mabeberu wawakome? Ili mnyooshwe ? Kwanza nyie si Ni Dona kantri mnahangaika nini ? Kwanza waambie mabeberu waiingize Tanzania kwenye nchi za G 8 ili kuboresha mahusiano , mabeberu wanawaonea wivu sana ccm .
 
Kama tatizo limetatuliwa,maana yake kwasasa Tz hakuna corona. Sasa inakuwaje mwanzo ulinishambulia niliposema hivyo?
Kama hakuna , je hao wageni wanaokuja facilities za kuwapima unajua zinakwendaje?, Unajua wageni hasa watalii wanapewa service gani wakiwa ktk viwanja vya ndege na Maeneo ya Utalii?
Mwanzo kabisa uliniuliza "mlikuwa wapi kuhoji mpaka mnahoji sasa?" Labda nikuulize ww,ulikuwa unamaanisha mimi na nani.

Unanirudishia Swali? Badala ujibu alaf ujione ulivyo na Tatizo

Wahusika ni EU,na hao wabunge ni moja kati ya member. Hata hivyo sidhani katika kujadili jambo lolote,basi wabunge wote huweza kuongea ndani ya siku moja. Hata hapa Tz unaona mijadala yao.
Kwanin una Compare Bunge la Tz na Bunge la Kimataifa? Wana protocol zao tofaut na huku... Hivyo jitafakari vzr
Kinachosababisha mashaka ni kwamba kabla ya hii taarifa hatukuwahi kuambiwa kama tumepokea msaada wa kiwango hicho kuhusu corona. Lakini pia hela zilivyotoka,zimetoka na mchanganuo mzima wa matumizi ya ile hela.
Skia kijana.. kama Serikali ingekuwa na Shida ya kufuja pesa basi wasingekataa Msaada/ruzuku ya pesa ya Uchaguzi.. kutoka nje. Serikali imetumia mapato yake ya ndani kuendesha Uchaguzi.. ingekuwa na shida na hizo pesa wangezichukua zile Bilioni za Msaada wa Uchaguzi.
 
Tuna demi kubwa sana,tuko vizuri...
 
Haaa just haaa haaa..!
MACCM rudisheni pesa ya mashoga.
Mbona ni rahisi sana. Kwa nini mnapenda sana vya kuiba.
Ni rahisi mno warudishe tu, walichukua za nini wakati sisi hatukuwa na covid , huo ni uwizi. Hizo fedha zirudishwe ili zikasaidie wanadamu wenzetu katika nchi zilizo athirika na hyo ndio utu na ubinadamu.
 
Dah sasa nakosa hata cha kutetea ila ngoja niendelee tu, hela za covid inaweza zikawa zimepelekwa kujenga miundombinu kama barabara, reli , madaraja na kusambaza umeme. Vyote ni muhimu katika mapambano na corona 😀
 
Siyo kweli CCM siyo majizi. Majizi wanajulikana ila kwa uoga wa wale Wabunge wa CHADEMA waliodhulumiwa ile mihela na MWENYEKIGODA wao, basi anapeta tu na kuanza kufanya mkakati wa KIELEKITRONIKI kuanza wizi mpya!
Kwa mfano zile 1.5T meko akawa mbogo kweli kweli na yule sheikh akafutwa kazi kibabe,yeye kawapumbaza hadi tenda ya uwanja kule kijijini kwake alimpa muowaji mwenzake halafu pale hazina ya taifa mtoto wa dada akalipa.
 
Watoto ni wako lakini ukiwatesa majirani watakushughulikia tu. Watoto ni wa Jamii. Watanzania ni Mali ya dunia na sio ya jiwes and company. Thus kuna the Hague sehemu salama ya kuwafunza walioko👿👿sa malezi Bora utotoni
Hitler mfalme wa madikteta hakupata malezi bora utotoni.
 
Pole pole wa Mchakato wa Katiba siyo huyu wa Sasa ,yeye na Kabudi wamekuwa kituko mbele ya uso wa Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…