Humphrey Polepole: Tunathamini marafiki zetu wote kama Taifa la Tanzania, tunawaheshimu na kuwapenda. Tunatarajia watuheshimu kama Taifa Huru

Bro Polepole tumesikia eti zile "USD Millioni 27" mlizopewa na EU (Umoja Wa Ulaya) za kupambana na Covid-19 mmenunulia zile Land Cruiser VX "61" za kijani mlizotumia kwenye kampeni?

Chenchi iliobakia mkanunulia risasi na mabomu mliotumia Zanzibar & Pemba na Mara???

Halafu huku JF wanasema wewe ukizeeka eti utakua mchawi/mwanga.
Akili mgando!
 
Hahaha kmmk 😂 😂
 
Leo kutoka ofisi za chama cha mapinduzi Lumumba jijini Dar es Salaam, Katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi, Humphrey Polepole anaongea kuhusu mambo yaliyojadiliwa kwenye kikao cha kamati kuu kilichoketi jana mjini Dodoma, kuwa nami..
=======

Polepole: Sisi kama chama mapinduzi tunawaahidi watanzania tutachapa kazi kuliko hata muhula uliopita, CCM kiko mstari wa mbele kuisimamia Serikali kuhakikisha yote tuliyowaahidi tunatekeleza. Tuna siku 1825 na hatuna muda wa kupoteza.

Siku ya jana iliketi kamati kuu ya halmashauri kuu Taifa ya CCM chini ya uenyekiti wa John Magufuli jijini Dodoma makao makuu ya chama na Serikali. Kwanza imetoa pongezi nyingi sana kwa ndugu Hemedi Suleiman Abdullah, makamu wa pili wa Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar.

Pia siku ya jana uteuzi wa baraza la mawaziri na kama kauli ya Rais ya Magufuli ameendelea kusisitiza , tuna kazi moja tu kwa watanzania kwa kipindi hiki, kuchapa kazi, kuwapatia utumishi uliotukuka ili tuweze kulipa deni kubwa ambalo watanzania wametupatia katika uchaguzi huu wa mwaka 2020.

AGENDA
  1. Kuthibitisha wa uteuzi wa wagombea wa nafasi za Meya wa jiji, Tanzania bara majiji sita
  2. Meya wa manispaa 20 za Tanzania Bara
  3. Wagombea wa nafasi za uenyekiti wa halmashauri za wilaya 137 za Tanzania Bara
  4. Kuthibitisha uteuzi wa nafasi za wagombea wa wenyeviti wa halmshauri za miji 22 Tanzania bara
=======

POLEPOLE: Ndugu watanzania msihangaishwe na kauli za hapa na pale, vikauli kauli hivi vya kuonesha kana kwamba, haya mambo ni ya kupuuza, sasa hivi tunataka tuchape kazi. Tuna kazi ya kuzalisha ajira nyingi(Milioni 8). Tuko vizuri mno, tunathamini marafiki wetu wote kama Taifa la Tanzania, tunawaheshimu na kuwapenda na tunatarajia na wao pia watuheshimu na kutupenda sisi kama Taifa huru na linalojitegemea.

Tutaendelea kutoa ushirikiano mkubwa kama ambavyo tumeainisha kwenye ilani ya CCM katika eneo la mahusiano ya kimataifa, tuna kazi kubwa ya kuimarisha sekta binafsi, kujenga uchumi imara, himilivu lakini pia jumuishi kwa maana hiyo mahusiano ya kimataifa kwetu jambo la msingi sana lakini tunafanya hivyo tukiangalia maslahi mapana ya Tanzania kwanza na yasiyokwenda kinyume na tamaduni zetu, taratibu zetu na desturi.
Katika watu majasili, basi polepole kapitiliza hujasili, kwamba ,Sisi nchi huru,how,? Duniani kote nchi zote ni huru Kama unafanya Mambo angalau yaliyostaharabika machoni mwa nchi nyingine,tangu Uhuru tumeridhia makubaliano mbali mbali katika nyanja mbalimbali
Hivyo Kama nchi ukivuruga makubaliano hayo machoni mwa mataifa mengine Uhuru wako nao unakoma na utashughulikiwa ,
Nasema pole pole ni jasili maana naona yapo Mambo mengine Kama hastahili kuyasemea maana hata akiyasemea tunabaki nayo hapahapa,pili binafsi kila nikifikilia yanayo weza kuja mbele mwili ujashutuka Sana,
Mh polepole punguza ujasili ,haya Mambo ni magum muachie prof kabudi , labda hiki ni kina kirefu mkuu
 
Kwa mfano zile 1.5T meko akawa mbogo kweli kweli na yule sheikh akafutwa kazi kibabe,yeye kawapumbaza hadi tenda ya uwanja kule kijijini kwake alimpa muowaji mwenzake halafu pale hazina ya taifa mtoto wa dada akalipa.
Haya ni maneno ya KITAA ambayo hata Lissu mlimwambia ayaseme na tukayasikia wakati wa kampeini ila kwa vile hayana ukweli hata nyie na Lissu hamyasemi kwa kishindo kwani uongo kila siku NI SHORT LIVED!
 
Babu alisema,wajinga ndio waliwao!
 
Amani na Umoja ndio Nguzo yetu,

Sasa ni wakati wa kufanya kazi kwa bidii kubwa.
 
Leo kutoka ofisi za chama cha mapinduzi Lumumba jijini Dar es Salaam, Katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi, Humphrey Polepole anaongea kuhusu mambo yaliyojadiliwa kwenye kikao cha kamati kuu kilichoketi jana mjini Dodoma, kuwa nami..
=======

Polepole: Sisi kama chama mapinduzi tunawaahidi watanzania tutachapa kazi kuliko hata muhula uliopita, CCM kiko mstari wa mbele kuisimamia Serikali kuhakikisha yote tuliyowaahidi tunatekeleza. Tuna siku 1825 na hatuna muda wa kupoteza.

Siku ya jana iliketi kamati kuu ya halmashauri kuu Taifa ya CCM chini ya uenyekiti wa John Magufuli jijini Dodoma makao makuu ya chama na Serikali. Kwanza imetoa pongezi nyingi sana kwa ndugu Hemedi Suleiman Abdullah, makamu wa pili wa Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar.

Pia siku ya jana uteuzi wa baraza la mawaziri na kama kauli ya Rais ya Magufuli ameendelea kusisitiza , tuna kazi moja tu kwa watanzania kwa kipindi hiki, kuchapa kazi, kuwapatia utumishi uliotukuka ili tuweze kulipa deni kubwa ambalo watanzania wametupatia katika uchaguzi huu wa mwaka 2020.

AGENDA
  1. Kuthibitisha wa uteuzi wa wagombea wa nafasi za Meya wa jiji, Tanzania bara majiji sita
  2. Meya wa manispaa 20 za Tanzania Bara
  3. Wagombea wa nafasi za uenyekiti wa halmashauri za wilaya 137 za Tanzania Bara
  4. Kuthibitisha uteuzi wa nafasi za wagombea wa wenyeviti wa halmshauri za miji 22 Tanzania bara
=======

POLEPOLE: Ndugu watanzania msihangaishwe na kauli za hapa na pale, vikauli kauli hivi vya kuonesha kana kwamba, haya mambo ni ya kupuuza, sasa hivi tunataka tuchape kazi. Tuna kazi ya kuzalisha ajira nyingi(Milioni 8). Tuko vizuri mno, tunathamini marafiki wetu wote kama Taifa la Tanzania, tunawaheshimu na kuwapenda na tunatarajia na wao pia watuheshimu na kutupenda sisi kama Taifa huru na linalojitegemea.

Tutaendelea kutoa ushirikiano mkubwa kama ambavyo tumeainisha kwenye ilani ya CCM katika eneo la mahusiano ya kimataifa, tuna kazi kubwa ya kuimarisha sekta binafsi, kujenga uchumi imara, himilivu lakini pia jumuishi kwa maana hiyo mahusiano ya kimataifa kwetu jambo la msingi sana lakini tunafanya hivyo tukiangalia maslahi mapana ya Tanzania kwanza na yasiyokwenda kinyume na tamaduni zetu, taratibu zetu na desturi.
Ukijiheshimu hata taahira atakuheshimu, ukiishi kiuwendawazimu, utadharaulika, japo mataahira wata kushangilia kwani wanakuona wewe ndio kiongozi wao.
 
Ni kweli this takes me back kwenye 2020 General Election campaigns na makelele ya Lissu na namna mataahira wenzake walivyokuwa wakimshangilia wakati anatukana kwenye majukwaa. Asante kwa kutukumbusha kamwamu keep it up!
 
Taahira anayeshangiliwa kama huyu,Yua ekselensi i traidi bati i kanti lichi yu
 
Penyeapo kumbe uko namtumbo.
Hahahahaaa mama D umenikumbusha mbali sana aisee

emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Bambu uvii kuperemihu ndee penyeapo?
 
Back
Top Bottom