Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Hana mamlaka ya kimaadili kuzungumza haya kwa rekodii yake ya nyuma. Pili, hana staha kabisa. Kwa level yake siyo wa kufanya huu uhuni.View attachment 3409750
Wakati akizungumza leo Julai 18, 2025 Polepole ameeleza kuwa mchakato wa kumpitisha mgombea uliofanyika Februari haukuwa sawa.
"Mchakato wa uchaguzi unafahamika, tunatangaza ratiba. Tukitangaza ratiba tunataka watu waje kuomba. Kuomba ni unyenyekevu mana uongozi siyo mali ya baba yako"
Mmeanza trna, hamtaki muambiwe ukweli.Hana mamlaka ya kimaadili kuzungumza haya kwa rekodii yake ya nyuma. Pili, hana staha kabisa. Kwa level yake siyo wa kufanya huu uhuni.
Walete waletee waleteee!Hana mamlaka ya kimaadili kuzungumza haya kwa rekodii yake ya nyuma. Pili, hana staha kabisa. Kwa level yake siyo wa kufanya huu uhuni.
Wewe zwazwa tuliza tobo lako...Hana mamlaka ya kimaadili kuzungumza haya kwa rekodii yake ya nyuma. Pili, hana staha kabisa. Kwa level yake siyo wa kufanya huu uhuni.
Hapana. Napenda sana kukosolewa. Ila lazima tukubali kuna watu hawana mamlaka ya kimaadili leo kuzungumza hivi leo na jana vile.Mmeanza trna, hamtaki muambiwe ukweli.
Wala hakuna haja ya kutukana. Mimi siwezi kutukana. Nimetoa mtazamo juu.Wewe zwazwa tuliza tobo lako...
Kuna ubaya mtu kuacha ubaya na kugeukia wema au ulitaka azidi kuwa na ubaya wakeHapana. Napenda sana kukosolewa. Ila lazima tukubali kuna watu hawana mamlaka ya kimaadili leo kuzungumza hivi leo na jana vile.
Umetumia kipimo gani kujua Polepole Hana mamlaka ya kimaadili?Yule aliyebaka demokrasia ndani ya Chama na kujitangaza mgombea pekee anayo hayo mamlaka ya kimaadili?Hapana. Napenda sana kukosolewa. Ila lazima tukubali kuna watu hawana mamlaka ya kimaadili leo kuzungumza hivi leo na jana vile.
Kwa sasa tusiangalie anafanya kwa sababu ya nani, madhali anachosema ni sahihi, anatetea upamde sahihi, ni ukweli uliokuwa wazi kabisa sasa nchi inaendeshwa kihuni zaidi kuliko nyakati zilizopita, taifa letu linahitaji mabadiliko makubwa, lakini hata chama tawala ndani yake wanahitaji marekebisho makubwa.Hapana. Napenda sana kukosolewa. Ila lazima tukubali kuna watu hawana mamlaka ya kimaadili leo kuzungumza hivi leo na jana vile.
Sawa mkuu. Sasa mwenye staha ni nani?. Huyo aliyejiteuwa kugombea urais?. Huyo anayewanyang'anya wenzake nafasi za kugombea?. Huyo aliyegundua jana kwamba MIKOPO HAIFAI ilhali deni tayari lipo juu huku hapo awali akitupilia mbali ushauri wa Ndugai? Huyo ambaye... Tulipofikia, tunahitaji watu kama akina Polepole bila kuangalia rekodi zao za nyuma kwamba walifanyaje au walikosea nini. Nawapongeza wana ccm mliosema na mnaosema HAPANA. Polepole aliwahi kusema kwamba ccm kuna WAHUNI.Hana mamlaka ya kimaadili kuzungumza haya kwa rekodii yake ya nyuma. Pili, hana staha kabisa. Kwa level yake siyo wa kufanya huu uhuni.